Pambano: Deontay Wilder Vs Tyson Fury-II. Tukutane hapa kwa updates

I know boxing than you .... Laiti ungefikiri walau Mara 4 nilichoandika usingepoteza muda kuandika ulichoandika... Hao wote uliowataja ni Boxers Bora Mara 100 ya Wilder ( Najua utabisha )....
Fuatilia michango yangu humu kwenye Threads za Wlider vs Furry tangu Pambano la la mwaka Jana ..


Nilikuwa nasema Wilde ni Moja ya boxers wabovu mno zaidi ya ile Bomber Punch Yake Hana alternative yoyote ile kupigana na adui ... Alishindwa kumpiga Furry mwaka Jana , furry akiwa nje ya ulingo kwa miaka miwili baada ya kupotea kwenye madawa ya kulevya ... JAPO Lile Pambano naamini Wilder alipigwa ....


Kabla ya Pambano la Jana niliongea tena Wilder hataweza kumpiga Furry kwa kuzingatia namna anavyopigana hatuweza furry ... Leo umeona kilichotokea ... Wilder anaruhusu ngumi nyingi Hana good defensive skills ,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu boxer ina maajabu yake,usipredict 100% wilder atapigwa tena iwapo kutakua na rematch,nenda youtube angalia pambano la fury ve otto wallin,nadhani utauheshimu mchezo wa ngumi
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakuelewa ila sio kwa kinachohusu DAMU ...damu ni kitu kingine mkuu, acha kabisa ..hilo ni agano kali sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio nyinyi mnaamini kushinda kwa agano mbona wakulia na wamasai wanakunywa damu ya ng'ombe hakuna agano
....katepeta basi kama dini pelekeni kanisani it's all bout ring fighting
 
hili pambano nasikia antony joshua ameloga sana ile furry ashinde, maana joshua anamuogopa sana wilder, joshua atampiga kirahisi furry
Mkuu ni swala la muda tuu AJ kupigana na Wilder.
Labda Wilder astaafu.
Sisi ni kusubiri kama Wilder atataka kurudiana na Furry kama mkataba ulivyosema.
Bt now tunataka FURRY Vs AJ.
Then yaje mapambano mengine.
Usisahau kuna manadatory challlengers kama Pulev, Whyte na Usyk
 
Cooper alipigwa na Muhammad Ali tena kwenye ardhi ya Uk.
Hapo ilikuwa ni Wimbley.
Rahman akaja kumtandika Lewis. Kichapo chake kilishtua ulimwengu wa masumbwi
Kwenye boxing ni skills tuu.
Hakuna cha muingereza wala mmarekani
Huyo Ali figisu nyingi....labda hilo pambano la Lewis... Mmarekani acha atandikwe tu
 
Pale hamna bondia, ni mtu tu aliye na umbo kubwa na anayenyanyua vyuma bila utaratibu maalum
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wataalam wa ndondi walimpa ushind Fury na ndo kilichotokea,ngumi ni profesheno sio janja janja
 
Nakumbuka Rahman alimpiga Lewis kwa knock out kwenye round ya kwanza au ya pili, baadae Lewis alisema hali ya hewa ya Afrika Kusini ilimwathiri na akaomba rematch akaahidi mpambano wa marudiano hautavuka round ya tano, Rahman alikutana na kipigo cha mbwa koko kilichomfanya afunge mdomo mpaka leo.
Cooper alipigwa na Muhammad Ali tena kwenye ardhi ya Uk.
Hapo ilikuwa ni Wimbley.
Rahman akaja kumtandika Lewis. Kichapo chake kilishtua ulimwengu wa masumbwi
Kwenye boxing ni skills tuu.
Hakuna cha muingereza wala mmarekani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
endelea kuota.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…