Your Majesty
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 3,242
- 5,345
Mapambano ya utangulizi yataanza saa 10:00 alfajiri,Mmoja kataja saa 1 asubuhi, mwingine saa 12:45 jioni. Tushike lipi? Hata kama kuna mapambano ya utangulizi, ndio ni kwa saa zote hizo?
Huu muda siyo sahihi mkuu
Huu muda siyo sahihi mkuu
Pambano ni saa 6:45 asubuhi
Kupitia Supersport 1.
Yap Mkuu.Kwa maana hiyo wenye visimbuzi vya azam hawatafanikiwa kuuona mchezo huu right...?
Mkataba wa Fury na promoters wake (Top Ranking) ni kucheza mapambano yake USA, hawezi kucheza nje ya hapo hadi utakapokuja mkataba mpya. Ndio maana pambano la AJ na Fury itakuwa ngumu kutokea kwa miaka ya karibuni, maana AJ anachezaga mapambano yake UK, alipojaribu kwa mara ya kwanza kucheza USA ndo yakamkuta ya kupigwa na Chibonge, ni ngumu kumshawishi tena AJ kucheza pambano Marekani
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni mambo ya saikolojia hayo, ndio maana hata mpira ukiwa uwanja wa nyumbani wanasema una advantageKwhy kapigwa na USA au AR Jr? Sidhan km hiyo ni msingi wa kukataa kwani kama uwezo upo unazichapa kokote
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulipoandika 10:00 alfajiri ulikua sahihiMapambano ya utangulizi yataanza saa 10:00 alfajiri,
Pambano lenyewe litaanza saa 6:45 asubuhi ya jumapili kupitia Supersport 1.
NB: Wilder atadondosha mtu mapema tu.
Asante sanaWakuu kupitia uzi na iptv yake jamaa hapa bwana https://www.jamiiforums.com/threads...i-kaeni-tayari.1685945/USER=128010]Guru[/USER] observer unaiona game
We umejuaje ya mioyoni mwao?Wamarekani hawapo hivyo,hiyo ni njia tu ya wilder apambane kisawa sawa ili awaprove wrong,mioyoni wanajua kabisa kete yao ipo kwa wilder ila ndio hivyo hawataki kimjaza upepo
Sent using Jamii Forums mobile app