Pambano: Deontay Wilder Vs Tyson Fury-II. Tukutane hapa kwa updates

Pambano: Deontay Wilder Vs Tyson Fury-II. Tukutane hapa kwa updates

Mike Tyson lazima awe upande wa Furry

Wilder aliulizwa endapo angekutana na Tyson wa mwaka 1986 ingekuaje, Wilder kajibu Tyson ana bahati sana kutokukutana nae maana angemuua kabsa, sasa kwa conment kama hii unazan Tyson atakua upande wa wilder?

ONE CHAMPION

ONE FACE

ONE NAME

View attachment 1363514

Sent using Jamii Forums mobile app
Wilder asingemweza Tyson hata kwa dawa, kwanza kwa upiganaji wake wa kuruhusu ngumi nyingi kumfikia, Tyson angemwua kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona kwenye betting companies Fury kapewa odd kubwa, au ndio watu washabet. Ukifata Fury inakula kwako.
 
Wilder ana power tu lakini anavyopigana ni kama wale masela wa manzese tu.. unaweza sema huyu jamaa ni professional kweli!? Ila akikubahatisha habari imeisha... and by the way huwezi mfananisha na yule iron mike tyson wa 1980's kwa lolote lile..

Sent using Jamii Forums mobile app
Ila akikubahatisha habari imeisha...

hahah zile timing sio bahati
 
pambano likiisha kwa point, furry anaweza kushinda, nina uhakika wilder atamaliza pambano mapema kwa KO
 
Haya wazee wa kubet kazi kwenu
Screenshot_20200221-082559_1582264058914.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mara nyingi haya mapambano ni ya kupanga, tension nyingi ni za ku-create.
Utakuta eg wanasafiri kwenye dege moja la kifahari, wakifika sehemu ya kupimia uzito, wanazuga kuzichapa kavukavu, huku wakijua kuna mabaunza wa kuwaamua.!
Ujinga mtupu.
 
Acha uongo wa kitoto
 
Yes hiyo ni kwaajili ya hamasa tu, ikizimwa camera wanagonga cheers. Ila siku ya tukio ni real war, ndo nachoupendeaga huu mchezo, sio kama WWE maigizo mwanzo mwisho[emoji1][emoji1][emoji1]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom