permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 11,682
- 14,241
Tyson na uzee bado ukimwangalia huo mkono wake ni chuma hasa, unaweza jua waliomkuta akiwa kijana walikutana na mtiti gani.Mayweather haivi na Wilder, hii ni baada ya May kutoa negative comment kwenye pambano la kwanza la Wilder dhidi ya Fury akimaanisha Fury kashinda (ni kama ambavyo Mwakinyo alivyochukia kukosolewa na Matumla).
Mike Tyson ni lazima awe upande wa Fury kwakuwa historia ya jina la 'Tyson Fury' limetokana na Mike Tyson, ni kama idol wake. Pia Wilder inaonesha hamuheshimu Mike Tyson, niliona anaulizwa mabondia gani watano wa muda wote anaowakubali akawataja Joe Louis, Shaver, George Foreman, Muhammad Ali na EvanderView attachment 1362721
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app