Utabiri wa Mastaa/Wadau mbalimbali wa Combart Sports juu ya hili pambano;
1. Bob Arum (Boxing Promoter)--- Fury
2. Dana White (UFC director)--- Fury
3. Floyd Mayweather (Boxer)---Fury
4. David Haye (Retired Boxer)---Wilder
5. Paul Maligagi (Boxer)---Fury
6. Triple H (Wrestler)---Fury
7. Mike Tyson (Retired Boxer)---Fury
8. Mc Gregor (UFC Fighter)---Fury
9. Anthony Joshua (Boxer)---Fury
10. Ben Davison (Boxing Coach)---Fury
..........list itaendelea
NB: Naona wadau wengi hawaamini kama Wilder anaweza kummaliza Fury kwavile alishindwa kufanya hivyo kwenye pambano la kwanza wakati Fury akiwa kwenye worst shape, hivyo wanaamini kwavile Fury ni better boxer atamshinda kwa kumuoutbox Wilder kama alivyofanya kwenye pambano la kwanza na ukizingatia kwa sasa yupo kwenye his best shape, only way Wilder anaweza kushinda ni endapo atafanikiwa kumpiga KO, kitu ambapo sio kirahisi kwakuwa Wilder hana accuracy nzuri kwenye punch zake na pia Fury is the master of defence.
... Anyway huo ni mtazamo wao, kwangu mimi still naamini Wilder atashinda kwa KO, sio rahisi kutofanya makosa ya defence kwa round zote 12, kosa moja tu dhidi ya Wilder linaweza kufanya upoteze pambano, no matter how u outboxed him
Sent using
Jamii Forums mobile app