Pambano: Deontay Wilder Vs Tyson Fury-II. Tukutane hapa kwa updates

Pambano: Deontay Wilder Vs Tyson Fury-II. Tukutane hapa kwa updates

Tyson fury ni bondia mwenye mbwembwe zaid dunian

Kuna pambano moja kacbeza na huyu huyu black aisee nilicheka sana
Jamaa anavyoonesha mbwembwe

Kwa kifupi jamaa jamaa siyo wa kimchezo mchezo

Ni mwepesi sana wa kwenda chini lakin ukimdondosha usizan kwamba ndo umemaliza pambano lazima akugeuzie kibao mda wowote

Sent using Jamii Forums mobile app
Safari hii atakalishwa jumla....utakumbuka mara ya mwisho walipokutana, alikalishwa ila aliwahi kuamka. DEO..kwa KO...hatari..
 
Safari hii atakalishwa jumla....utakumbuka mara ya mwisho walipokutana, alikalishwa ila aliwahi kuamka. DEO..kwa KO...hatari..
Mkuu nimefatilia pambano za mshikaji zaid ya kumi nilichokiona ni kwamba jamaa ni mwepesi sana wa kupepesuka

Lakin akipepesuka siyo ndo kwamba sasa umemshinda

Kuhusu kupigwa pambano linalokuja mimi na wewe hatujui ndugu yangu

Mimi ninachopenda kwake ni mbwembwe zake

Hahahaaaaaa lijamaaa linambembwe kinoma mara liweke mikono nyuma mara liachame kama simba yaan kucheki mapambano ya hili limjamaa ni raha sana aisee

Kwa mbwembwe tu, yupo vizuri sana...lazima ufurahi. Ila litakuwa pambano zuri sana
 
Utabiri wa Mastaa/Wadau mbalimbali wa Combart Sports juu ya hili pambano;

1. Bob Arum (Boxing Promoter)--- Fury
2. Dana White (UFC director)--- Fury
3. Floyd Mayweather (Boxer)---Fury
4. David Haye (Retired Boxer)---Wilder
5. Paul Maligagi (Boxer)---Fury
6. Triple H (Wrestler)---Fury
7. Mike Tyson (Retired Boxer)---Fury
8. Mc Gregor (UFC Fighter)---Fury
9. Anthony Joshua (Boxer)---Fury
10. Ben Davison (Boxing Coach)---Fury
..........list itaendelea

NB: Naona wadau wengi hawaamini kama Wilder anaweza kummaliza Fury kwavile alishindwa kufanya hivyo kwenye pambano la kwanza wakati Fury akiwa kwenye worst shape, hivyo wanaamini kwavile Fury ni better boxer atamshinda kwa kumuoutbox Wilder kama alivyofanya kwenye pambano la kwanza na ukizingatia kwa sasa yupo kwenye his best shape, only way Wilder anaweza kushinda ni endapo atafanikiwa kumpiga KO, kitu ambapo sio kirahisi kwakuwa Wilder hana accuracy nzuri kwenye punch zake na pia Fury is the master of defence.

... Anyway huo ni mtazamo wao, kwangu mimi still naamini Wilder atashinda kwa KO, sio rahisi kutofanya makosa ya defence kwa round zote 12, kosa moja tu dhidi ya Wilder linaweza kufanya upoteze pambano, no matter how u outboxed him

Sent using Jamii Forums mobile app
nasikia floyd ana ka jelous flani kwa wilder, hata mike tyson. wanapenda wao ndo waendelee kua great blackboxers
 
Mkuu nimefatilia pambano za mshikaji zaid ya kumi nilichokiona ni kwamba jamaa ni mwepesi sana wa kupepesuka

Lakin akipepesuka siyo ndo kwamba sasa umemshinda

Kuhusu kupigwa pambano linalokuja mimi na wewe hatujui ndugu yangu

Mimi ninachopenda kwake ni mbwembwe zake

Hahahaaaaaa lijamaaa linambembwe kinoma mara liweke mikono nyuma mara liachame kama simba yaan kucheki mapambano ya hili limjamaa ni raha sana aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna heavyweight mwepesi kama huyu kwa hawa wa sasa, yaani anavyodance ulingoni utadhani ni lightweight, na ana skills kama zote, he's a pure boxer that's why wadau wengi wanamkubali na wanampa nafasi ya kushinda. Pia ni the best trash talker, Wilder huwa ni muongeaji lakini kwa Fury hatoboi kwenye battle ya maneno[emoji1][emoji1]. Sema pamoja na sifa zote alizonazo (skills n' technics) ni bahati mbaya anakutaka na mtu ambaye anahitaji only one perfect punch to end the fight, that's why mimi sikuzote huwa nambetia Wilder[emoji378][emoji109][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nasikia floyd ana ka jelous flani kwa wilder, hata mike tyson. wanapenda wao ndo waendelee kua great blackboxers
Mayweather haivi na Wilder, hii ni baada ya May kutoa negative comment kwenye pambano la kwanza la Wilder dhidi ya Fury akimaanisha Fury kashinda (ni kama ambavyo Mwakinyo alivyochukia kukosolewa na Matumla).

Mike Tyson ni lazima awe upande wa Fury kwakuwa historia ya jina la 'Tyson Fury' limetokana na Mike Tyson, ni kama idol wake. Pia Wilder inaonesha hamuheshimu Mike Tyson, niliona anaulizwa mabondia gani watano wa muda wote anaowakubali akawataja Joe Louis, Shaver, George Foreman, Muhammad Ali na Evander
Screenshot_20200219-160540_1582117569570.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna heavyweight mwepesi kama huyu kwa hawa wa sasa, yaani anavyodance ulingoni utadhani ni lightweight, na ana skills kama zote, he's a pure boxer that's why wadau wengi wanamkubali na wanampa nafasi ya kushinda. Pia ni the best trash talker, Wilder huwa ni muongeaji lakini kwa Fury hatoboi kwenye battle ya maneno[emoji1][emoji1]. Sema pamoja na sifa zote alizonazo (skills n' technics) ni bahati mbaya anakutaka na mtu ambaye anahitaji only one perfect punch to end the fight, that's why mimi sikuzote huwa nambetia Wilder[emoji378][emoji109][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
Yap wilder yuko vizur zaid ya jamaa

Lakin hata jamaa naye yuko vizur unajua kupambana na wilder na ukamaliza round zote siyo kitu simple

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmarekani wanampendelea mbona re match inafanyika Usa badala ya England?
Mkataba wa Fury na promoters wake (Top Ranking) ni kucheza mapambano yake USA, hawezi kucheza nje ya hapo hadi utakapokuja mkataba mpya. Ndio maana pambano la AJ na Fury itakuwa ngumu kutokea kwa miaka ya karibuni, maana AJ anachezaga mapambano yake UK, alipojaribu kwa mara ya kwanza kucheza USA ndo yakamkuta ya kupigwa na Chibonge, ni ngumu kumshawishi tena AJ kucheza pambano Marekani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wilder ana haters wengi sana, Kajoshua kamehojiwa juzi eti anadai Fury atashinda wakat yeye mwenyew anamuogopa king Wilder

BronzerBomber he promise hata Mungu hatoweza muokoa Furry na kichapo this round

Baada ya huyu teja tunaitaji pambano na bishoo Joshua ili tumstahafishe kabsa

Tunaitaji only 1punch quick knockout tu, blah blah za kurusha vingumi vingi sisi hatuna

#Tilthisday #OneChampion

View attachment 1361864View attachment 1361865

Sent using Jamii Forums mobile app

Weka alizopigwa wilder,,,,kumbuka on sunday ni rematch,,,first game alidundwa vizuri sana wilder wako,,,,jamaa aliibuka mshindi
 
Back
Top Bottom