Pambano: Deontay Wilder Vs Tyson Fury-II. Tukutane hapa kwa updates

Pambano: Deontay Wilder Vs Tyson Fury-II. Tukutane hapa kwa updates

Kwenye hili pambano kutakuwa na KO.

Wilder siyo boxer mzuri ila ni mviziaji mzuri, kinachombeba ni ile heaviest punch aliyonayo.

Kwakuwa ameshamjua Fury kupitia pambano la kwanza, atamvizia wakati anafanya zile mbwembwe za kushusha mikono na kumtandika punch moja na pambano litaishia hapo.

Simpendi Wilder ila nalazimika kuusema ukweli unaouma.
 
Wilder ni best puncher wa heavy kwa sasa . I bet anaenda shinda kwa Ko
 
Maoni ya Canelo na Man Pacquiao
Screenshot_20200221-094639_1582270598275.jpeg
Screenshot_20200221-102552_1582270569216.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wazeee kwa hukuu daisalma itakuaa mudaa gani ? Ni usiku huu au uleee wa kucheaaa jumapiri?

Don't make a promise you can't fulfill...
 
Hii sledi iko kimya sanaaaaa

Don't make a promise you can't fulfill...
 
Lakini sijajua kwanini malengends wengi hawajambetia

Sio mdau wa mchezo huu ila hili pambano siwezi ku miss
Huyo anapigana Kama bondia wa Manzese, anaruhusu ngumi nyingi mno kumfikia, ndio maana wengi wanaamini Pambano likiamuliwa kwa Points Wilder anapigwa chini...


Yeye anachojivunia Ni ile punch Yake moja ili amalize game Kitu ambacho hata game ya kwanza alikuwa hapewi nafasi. Zaidi ya hapo Wilder ni bondia wa kawaida saaaana nimewahi kumshuhudia kwa ngazi ya uzito wa juu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lakini sijajua kwanini malengends wengi hawajambetia

Sio mdau wa mchezo huu ila hili pambano siwezi ku miss

Game yake ya mwisho alocheza nae alishinda ila ni kama alipendelewa ivi yan nlivyochek ni kama ilikuwa draw huyo Tyson Fury pia sio kitoto anarusha ngumi kama cherehan ndio mana point kama zimefanana ivi mzee ningekuwa na uhakika ningemwekea wilder M2 ila naogopa bora ninywe bia tu


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Huwezi pewa muda exactly, hayo ni makadilio tu. Maana kuna mapambano ya utangulizi, yanaweza kuchelewa kumalizika ama huwahi inategemea kama yatakuwa na KO za mapema ama wanamaliza round zote

Sent using Jamii Forums mobile app
Mmoja kataja saa 1 asubuhi, mwingine saa 12:45 jioni. Tushike lipi? Hata kama kuna mapambano ya utangulizi, ndio ni kwa saa zote hizo?
 
Back
Top Bottom