Gunst
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 2,995
- 5,664
Kwenye hili pambano kutakuwa na KO.
Wilder siyo boxer mzuri ila ni mviziaji mzuri, kinachombeba ni ile heaviest punch aliyonayo.
Kwakuwa ameshamjua Fury kupitia pambano la kwanza, atamvizia wakati anafanya zile mbwembwe za kushusha mikono na kumtandika punch moja na pambano litaishia hapo.
Simpendi Wilder ila nalazimika kuusema ukweli unaouma.