screpa
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 10,857
- 15,866
- Thread starter
- #61
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sema jamaa alikuwa heavyweight mdogo sana, heavyweight wengi wa sahivi ni magiant kwelikweli
Sent using Jamii Forums mobile app
Wilder asingemweza Tyson hata kwa dawa, kwanza kwa upiganaji wake wa kuruhusu ngumi nyingi kumfikia, Tyson angemwua kabisa.Mike Tyson lazima awe upande wa Furry
Wilder aliulizwa endapo angekutana na Tyson wa mwaka 1986 ingekuaje, Wilder kajibu Tyson ana bahati sana kutokukutana nae maana angemuua kabsa, sasa kwa conment kama hii unazan Tyson atakua upande wa wilder?
ONE CHAMPION
ONE FACE
ONE NAME
View attachment 1363514
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila akikubahatisha habari imeisha...Wilder ana power tu lakini anavyopigana ni kama wale masela wa manzese tu.. unaweza sema huyu jamaa ni professional kweli!? Ila akikubahatisha habari imeisha... and by the way huwezi mfananisha na yule iron mike tyson wa 1980's kwa lolote lile..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana, sijawahi kumshabikia huyo jamaa, kipindi nafatilia mieleka mtu wa mwisho kumpenda alikuwa Roman ReignsHuu uandishi wako unafanana na jamaa flani shabiki wa Brock Lesnar
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana, sijawahi kumshabikia huyo jamaa, kipindi nafatilia mieleka mtu wa mwisho kumpenda alikuwa Roman Reigns
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona kwenye betting companies Fury kapewa odd kubwa, au ndio watu washabet. Ukifata Fury inakula kwako.
Kwa Iron Mike wa 1986 isingekuwa rahisi kutoboa, zile combination zake ni lazima zingemmaliza mapema kabla hajafikiria kurusha power bombWilder asingemweza Tyson hata kwa dawa, kwanza kwa upiganaji wake wa kuruhusu ngumi nyingi kumfikia, Tyson angemwua kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Saa ngapi mkuuWilder mfalme wa KOs
Aiseee hili pambano sitalikosa kupitia SS1.
Saa ngapi mkuu
Acha uongo wa kitotoMara nyingi haya mapambano ni ya kupanga, tension nyingi ni za ku-create.
Utakuta eg wanasafiri kwenye dege moja la kifahari, wakifika sehemu ya kupimia uzito, wanazuga kuzichapa kavukavu, huku wakijua kuna mabaunza wa kuwaamua.!
Ujinga mtupu.
Yes hiyo ni kwaajili ya hamasa tu, ikizimwa camera wanagonga cheers. Ila siku ya tukio ni real war, ndo nachoupendeaga huu mchezo, sio kama WWE maigizo mwanzo mwisho[emoji1][emoji1][emoji1]Mara nyingi haya mapambano ni ya kupanga, tension nyingi ni za ku-create.
Utakuta eg wanasafiri kwenye dege moja la kifahari, wakifika sehemu ya kupimia uzito, wanazuga kuzichapa kavukavu, huku wakijua kuna mabaunza wa kuwaamua.!
Ujinga mtupu.