Pambano: Deontay Wilder Vs Tyson Fury-II. Tukutane hapa kwa updates

Pambano: Deontay Wilder Vs Tyson Fury-II. Tukutane hapa kwa updates

Mmoja kataja saa 1 asubuhi, mwingine saa 12:45 jioni. Tushike lipi? Hata kama kuna mapambano ya utangulizi, ndio ni kwa saa zote hizo?
Mapambano ya utangulizi yataanza saa 10:00 alfajiri,
Pambano lenyewe litaanza saa 6:45 asubuhi ya jumapili kupitia Supersport 1.

NB: Wilder atadondosha mtu mapema tu.
 
Kwhy kapigwa na USA au AR Jr? Sidhan km hiyo ni msingi wa kukataa kwani kama uwezo upo unazichapa kokote
Mkataba wa Fury na promoters wake (Top Ranking) ni kucheza mapambano yake USA, hawezi kucheza nje ya hapo hadi utakapokuja mkataba mpya. Ndio maana pambano la AJ na Fury itakuwa ngumu kutokea kwa miaka ya karibuni, maana AJ anachezaga mapambano yake UK, alipojaribu kwa mara ya kwanza kucheza USA ndo yakamkuta ya kupigwa na Chibonge, ni ngumu kumshawishi tena AJ kucheza pambano Marekani

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Tyson Fury and Deontay Wilder nearly brawl at pre-fight press conference
 
Mapambano ya utangulizi yataanza saa 10:00 alfajiri,
Pambano lenyewe litaanza saa 6:45 asubuhi ya jumapili kupitia Supersport 1.

NB: Wilder atadondosha mtu mapema tu.
Ulipoandika 10:00 alfajiri ulikua sahihi

Ila unapoandika 6:45 hapa upo kimakosa na utapoteza watu

Andika hivi: 12:45 asubuhi

#wilder heavy punch

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Let's go champs..
Screenshot_20200222-185114_1582399962602.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fury can box but Wilder can punch.

How many punches can Fury dodge? cause it takes one punch from Wilder to knock out a boxer
 
Back
Top Bottom