Mi nilishangaa..Zen mtu anaambiwa ndani ya masaa kadhaa apunguze kilo mbili..Mi nikachoka kabisa...Alafu akaanza kusingizia mizani hahahaha cha kushangaza mwenzake alikutwa na uzito huo huo
TBC1Mi nilishangaa..Zen mtu anaambiwa ndani ya masaa kadhaa apunguze kilo mbili..Mi nikachoka kabisa...
Ebwana hili pambano linaonyeshwa wapi..Au upo eneo la tukio?
Huu mchezo bongo ni kurisk maisha yako tu..Hakuna futurehata msosi tu shida
gym hawamudu gharama zake
unakuta bondia anakimbiakimbia beach tu
Mi nilishangaa..Zen mtu anaambiwa ndani ya masaa kadhaa apunguze kilo mbili..Mi nikachoka kabisa...
Ebwana hili pambano linaonyeshwa wapi..Au upo eneo la tukio?
Punch azitoe wapi? he's pushing and shoving the guy, kakazana kukumbatia na kucheza mielekacheka hana knock out punch
Ndio lengo lao,we ujasikia kauli za viongozi wakisema hawajaona mtu muda mrefu akipelekwa hospital?? Wamemchosha sana kumfanyisha mazoezi magumu kupunguza kilo 2 yote ni kumchanganya kisaikolojiaCheka ni aibu kwa kweli, astaafu tu akalime ndizi mzuzu kwao matombo huko, atakuja tandikwa akose hata pesa ya matibabu