Pambano la Cheka Na Mserbia

Pambano la Cheka Na Mserbia

Alafu akaanza kusingizia mizani hahahaha cha kushangaza mwenzake alikutwa na uzito huo huo
Mi nilishangaa..Zen mtu anaambiwa ndani ya masaa kadhaa apunguze kilo mbili..Mi nikachoka kabisa...

Ebwana hili pambano linaonyeshwa wapi..Au upo eneo la tukio?
 
Cheka kapasuliwa tayari.. Damu zinavuja hapa
 
Mi nilishangaa..Zen mtu anaambiwa ndani ya masaa kadhaa apunguze kilo mbili..Mi nikachoka kabisa...

Ebwana hili pambano linaonyeshwa wapi..Au upo eneo la tukio?

tbc1
 
Wamemchosha wenyewe,jana wamemfanyisha mazoezi ili apunguze kilo 2 ni hatari sana
 
kama majaji wa tz unaweza ambiwa cheka kashinda
inatokeaga sana
 
Huyu Kaseba kidogo ana akili ya mchezo sijui kwanini anadundwaga nae hahaha
 
Kaseba wanamfanyiaga fitna,yule rais wao anakula cha juuu na mapromota
 
Cheka ni aibu kwa kweli, astaafu tu akalime ndizi mzuzu kwao matombo huko, atakuja tandikwa akose hata pesa ya matibabu
 
Kaseba wanamfanyiaga fitna,yule rais wao anakula cha juuu na mapromota
Naona hapa anatoa tips za maana kabisa.. Anafaa kuwa mwalimu, atafute young boxers awatrain
 
Cheka ni aibu kwa kweli, astaafu tu akalime ndizi mzuzu kwao matombo huko, atakuja tandikwa akose hata pesa ya matibabu
Ndio lengo lao,we ujasikia kauli za viongozi wakisema hawajaona mtu muda mrefu akipelekwa hospital?? Wamemchosha sana kumfanyisha mazoezi magumu kupunguza kilo 2 yote ni kumchanganya kisaikolojia
 
Cheka ni aibu kwa kweli, astaafu tu akalime ndizi mzuzu kwao matombo huko, atakuja tandikwa akose hata pesa ya matibabu
Akitoka hapo anamtafuta kibonde wake Mada Maugo anamtandika na yeye hahahhaa
 
Back
Top Bottom