Mazoezi yake yenyewe eti kusukuma tairi la sijui trekra kwenda mlimani na kurudi, very localCheka siku zote anaonea mabondia wa TZ..
kwenye skills sio mzuri,yeye msuli zaidi...
Kamuulize Cheka kama hata anajua southpaw ni kitu gani, bongo ujanja ujanja mwingi sanamabondia wazuri walikuwa wanatoka ngumi za ridhaa kwanza
sio hawa wanatoka mitaani ndo wanakuwa mabondia
Bora mada maugo akitoka hapo anamfuata meneja wa ile bar yake, kichapo kizito kwa kwenda mbeleAkitoka hapo anamtafuta kibonde wake Mada Maugo anamtandika na yeye hahahhaa
Hahaha si utani mkuu ndo mazoezi yake afu watu wa Moro wanamuaminia balaaHahahahahahahahaha aiseeee
Hahaha kweli mkuu nadhani na kile kifungo cha Gerezani kilifanya kiwango kikashuka kabisaaSafari hii meneja awe makini na mahesabu asije akaua