Pambano la Cheka Na Mserbia

Pambano la Cheka Na Mserbia

mabondia wazuri walikuwa wanatoka ngumi za ridhaa kwanza
sio hawa wanatoka mitaani ndo wanakuwa mabondia
 
Cheka siku zote anaonea mabondia wa TZ..
kwenye skills sio mzuri,yeye msuli zaidi...
Mazoezi yake yenyewe eti kusukuma tairi la sijui trekra kwenda mlimani na kurudi, very local
 
Huuu ni uwongo kabisaaa yaaan daaah...kwa mtindo uhuu hatutaendeleaaaaaaa
 
hiyo sio mara ya kwanza

keshatangazwa pia alipopigwa na muiran hapa hapa TZ..
 
Yaani yule mzungu alikosea kusubiri point
alipaswa amalize kwa knock out
 
Back
Top Bottom