ScandalousSi nilisema mimi atatangazwa
Dah aise siamini macho yangu,kichapo chote kileYaani yule mzungu alikosea kusubiri point
alipaswa amalize kwa knock out
Dah aise siamini macho yangu,kichapo chote kile
Alafu kwanza inawezekana ile round ya kwanza baada ya kudondoshwa dakika hazikuisha ila walimaliza tu ili wamsave na KO
Yaan waliozoea vya kunyonga hata vya kuchinja hawez!! Tunadhalilishana bhana ushind gan huu!!Usishangae sana.. Hii ndio Tz.. Mzungu kaishia kucheka tu na kuondoka
Mimi mwenyewe nimechoka!! Hata kama mtu hujui ngumi ni wazi kabisa hili shindano cheka kapigwa toka round ya kwanza! Any way labda siku hizi ikipigwa sana ndio unapewa ushindi kwa kichapo ulichopigwa.Sio mtaalamu sana wa kutoa judgement hasa upande wa masumbwi, lakini kwa common senses tu hua naweza angalau kutambua kipi kinaendelea na hatimae kuhisi mshindi kabla ya official judges kutoa matokeo!!!
Jana kwenye pambano la bondia Cheka dhidi ya Gerald tangu mwanzo wa pambano mpaka mwisho alitawala bondia huyu mzungu... watazamaji walijua hilo, watangazaji (Commentators) walijua hilo pia na kila mtu alijua cheka kashindwa kwenye lile pambano
Ajabu matokeo ya majaji yakampa cheka ushindi, Nauliz kwa wanaofahamu ni nini kilitokea?
Ni kweli kabisa mkuu... Huyu jamaa aliamua tu kutoa show mpaka mwisho ili watu wafurahie pambano.. Ila angetaka kumaliza kwa KO angefanya hivyo hata kabla ya round ya 3... Hata ile round ya kwanza alivyodondoshwa akawa anayumba dakika hazikuisha ila walimaliza ili tu akapumzike... This is too sad, kwa njia hii hatufiki kokoteBaada ya pambano mzungu alikua anamfundisha cheka awe fasta na kupiga tumbon na mbavuni, aliamin kesha shinda dah maskin