Lussadam
JF-Expert Member
- Oct 13, 2007
- 1,341
- 907
Cheka kashinda kwa pointi za utatanishi.Tupeni matokeo wadau!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Cheka kashinda kwa pointi za utatanishi.Tupeni matokeo wadau!
Eti wote walitoka Tz kutokana na wadau humu wanavyosema! Hii kali.Majaji walitoka nchi gani?
Yaelekea unaujua mchezo wa ndondi kuliko majaji!!Siasa kila mahali mengine tutakuja kumzika mtu huku ndiye mshindi.
Ni Mtanzania na mwenyeji wa Morogoro,hatari zaidi ktk dimba nilikuwepo...narudia tuweke siasa ktk mengine ila si Ngumi,itakuja kutokea Tz Pekee Mshindi ndiye Marehemu kwa style hii.
Uzalendo wa kipumbavu hatuutaki.Watanzania tuwe na kasumba ya kukubali matokeo, maana Jana baada ya Francis Cheka kutangazwa mshindi WBF wengi walianza kuponda kwa kusema amebebwa. Tuwe na Uzalendo
Kama nyuma ya pazia mambo yalikuwa hivi basi Cheka alijitahidi sana.Uzito waliokubaliana ni Kg 72.2 Sasa juzi wakati wanapimwa Cheka akawa na Kg 74.6 akawa amezidi 2.4Kg.
Unajua kinachofanyika ukizidi uzito kuna option mbili moja nikuwithdraw pambano chapili ni kupungua ndani ya muda huo.
Ikabidi Cheka aanzie toilet akajiminye baada ya hapo unafanya mazoezi ya kukimbia na kuruka ruka ili kukata kilo.
Kwa masaa 5 akafikisha 72.6 akawa analalamika kuwa amechoka mpaka wanapigana Jana inamaana alikata kilo mbili ndani ya masaa machache.
Wataalam wa ngumi wanasema kupunguza 2Kg kwa siku moja huwa ni ngumu sana na ukifanikiwa kesho yake unaweza kupiga punch Ila haziwi heavy zinakuwa light punch unless mpinzani awe dhaifu sana.
Kwa hayo nilijua atachapwa tu lakini ndio hivyo jaji Lubuva na Jecha waliingilia mpambano.
Mkuu binafsi nashauri uangalie tena hilo pambano halafu baada ya hapo ulete mrejeshoAmeshinda nyumbani, Jambo zuri, nyi mlikua mnatakaje? Ashindwe mpate cha kuongea, Viva cheka, mcheza kwao utunzwa! Kashindwa Pacquiao na ngumi nyingi! Watu wanaesabu zilizofika sio nyingi za kujilinda!