Pambano la Kidunda na Asemale Majaji wa Tanzania msituharibie pambano

Hakuna faulo yoyote aliyocheza zile mbinu za kawaida sana za mchezo. Au ulikuwa unawasikiliza hao wachambuzi fake? Huyu ni refa sliyejitshidi Sana. Ingekuwa wale wengine wasingehesabu hata knock down ya mwisho
 
Upumbavu unaanzia kwa hawa watangazaji wa Azam wako biased sana, kidunda akipigwa ngumi hawaongei lakini yeye sasa akirusha ngumi Moja makelele kibaooo, huyu dogo kampiga kidunda kinoma
Watangazaji wamezinguq sana ila angalau wao hawahusiki na matokeo so hata wakiongea haiathiri mchezo japo wanakuwa wanatunyima haki yetu watazamaji maana tunahitaji uchambuzi usio na upande. Majaji ndo wameharibu pambanao na bilashaka ni maelekezo.
 
Mabondia wote wameomba re metch, na Kila mmoja amemsifu Mwenzake shida katika pambano ili faul zilikua nyingi na refa hakukata point ikapelekea karibu Kila round kuwe na faul za upande mmoja.
 
huyu dogo msauzi namwona mbali sana bdae kama hatabaniwq kama hivi

ni ngumu sana kumpiga kwa staili anayocheza maana
anacheza kisouth paw wakati yeye ni othodoks ngumu kumpiga mtu wa ivo
 
Hakuna faulo yoyote aliyocheza zile mbinu za kawaida sana za mchezo. Au ulikuwa unawasikiliza hao wachambuzi fake? Huyu ni refa sliyejitshidi Sana. Ingekuwa wale wengine wasingehesabu hata knock down ya mwisho
jifunze kwanza Sheria na taratibu za mchezo wa Ngumi ndio utaelewa faul katika boxing zinakuaje.
 
Huyo babu yenu kapigwa mwanzo mwisho acheni kumtetea we una miaka 42 unataka kufia ulingoni?
George foreman akiwa na miaka 42 alicheza Evander Holy field akiwa na 28 Aya mambo kama huyafahamu utageuka kituko.
Wakati huo George foreman Alisha Kaa nje ya game kwa zaidi ya miaka 10 na game iliisha kwa point chache.
 
hivi kwa pambano kama hili wanakunja pesa ngapi hawa?
 
George foreman akiwa na miaka 50 alimpiga Evander Holy field akiwa na 30 Aya mambo kama huyafahamu utageuka kituko.
unamjua foreman wa enzi izo wew au unaangalia iyo namba tu
 
jifunze kwanza Sheria na taratibu za mchezo wa Ngumi ndio utaelewa faul katika boxing zinakuaje.
Wewe yawezekana ni mmoja wa wale wachambuzi wstangazajibwa.mchongo ambapo kila kidunda akipokea vitasa wao wsna sema kaparazwa na kotakota sijui kota kota ni nini? Acha mahabat yabkienyeji kabondwa.huyo kidunda
 
BMT Isimamishe mapambano ya ngumi Tanzania , tunavuna aibu sana
 
Dogo alikuwa na uwezo wa kumaliza knockout
Lakini Kacheza fairplay kwa heshima ya huyo poti akiamini atapewa ushindi wa kawaida lakini wamembania kama watarudia mtarajie knockout
Sema jeshi linajichoresha wanatia aibu
Umeamua kuwa bondia kuwa bondia mambo ya jeshi acha jeshini nenda wewe kama wewe
 
Babu k kAsuuzwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…