Pambano la Kidunda na Asemale Majaji wa Tanzania msituharibie pambano

Nilitabiri watamaliza bado sekunde 20. Kuna pambano la Kidunda na Katompa walifanya hivyohivyo
Aliyekaa kwenye kengele ni kama yule kwenye Ip Man 2, [emoji23][emoji23]
Akiona Kidunda anashambulia anakausha, akishambuliwa anapiga kengele kabla, tena Jana kapiga mara mbili
 
Labda aongee vizuri na marefa Ila kiuwezo bado sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…