Pambano: Nchi gani iko juu kwa wanawake wenye mpindo mzuri ama miili mizuri yenye makalio ya viwango kati ya Wanyarwanda na Waganda?

Ukitaka matank mazito,yako hapo bondeni kwa madiba,
Wana miili mikubwa minene mizuri

Sent from my TECNO BE6 using JamiiForums mobile app
 
Tuache mchezo kwa Africa mashariki hapa wanawake wa ki bongo ni Namba moja kidogo na wa kenya mtu anadiliki kusema Uganda kuna wanawake wazuri kuliko TZ uwo ni uwongo kabisa mara sjui Zambia
Sio kila kitu kuweka uzalendo
 
Sio kila kitu kuweka uzalendo
siwezi kuwa mzalendo kwenye kitu kama mapenzi kwangu waganda ni bado sana kwa wanawake wa ki Tanzania labda ningekua siwafahamu ningesema nawaonea sjui kwa nyinyi wengine ila kwangu hapana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…