financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 17,776
- 42,402
😀😀 mkuu unamfahamu Sanchoka? Basi ni design hiyo🏃♀️
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😀😀 mkuu unamfahamu Sanchoka? Basi ni design hiyo🏃♀️
Taharuki gani tena mkuu?😀
Tupia kwenye pm yangu, nataka nione shape ya mrembo Financial services[emoji3][emoji3] mkuu unamfahamu Sanchoka? Basi ni design hiyo[emoji2088]
Hahaa hivi kweli unaamini? Nipo tu kawaida with flat screen safiTupia kwenye pm yangu, nataka nione shape ya mrembo Financial services
Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
Labda wewe, ila hao wengine uliowaweka, sifuri bin zero.Uongo gani sasa 😀 unamfahamu Sanchoka wewe vipi Poshy wa Harmonize? Hao ni baadhi tu, bado mimi pia sijajiweka kwenye list hapo🤸♀️
Naam tunaomba usindikize na picha yako hili swala kulitilia mkazo🥰🥰😂Uongo gani sasa 😀 unamfahamu Sanchoka wewe vipi Poshy wa Harmonize? Hao ni baadhi tu, bado mimi pia sijajiweka kwenye list hapo🤸♀️
Ukitaka matank mazito,yako hapo bondeni kwa madiba,Katika hili pambano mimi binafsi kusema ule ukweli nikiangalia ukanda wa maziwa makuu hapa Afrika Mashariki, kwa ujumla inapokuja swala la shepu hasa mpindo mzuri wa makalio ama Matrakoo Wanyarwanda hadi sasa wanaongoza kwa mbali sana, japo hawajazagaa sana huko Dubai na Arabuni ila hawa viumbe wa Kitusi hawana mpinzani hata Duniani wapi no.1 hadi 3.
Vote
A. Wanyarwanda
B. Waganda
Kura yangu nachagua A. Wanyarwanda ni noma sana
Karibu kwa hayo machache
Wadiz
Mm ni Tomaso!! Mpaka nioneHahaa hivi kweli unaamini? Nipo tu kawaida with flat screen safi
Kama hao hujaona kitu mimi si ndiyo kituko 😀 maana hata hao siwafikii kabisaLabda wewe, ila hao wengine uliowaweka, sifuri bin zero.
Kuthibitisha Hayo Maneno Yako Hapo Juu.Taharuki gani tena mkuu?[emoji3]
Hebu tukuone mkuu imo imoHao wote hawatufikii wabongo mkuu, baki nyumbani, kuwa mzalendo sifia cha kwako[emoji3]
Sio kila kitu kuweka uzalendoTuache mchezo kwa Africa mashariki hapa wanawake wa ki bongo ni Namba moja kidogo na wa kenya mtu anadiliki kusema Uganda kuna wanawake wazuri kuliko TZ uwo ni uwongo kabisa mara sjui Zambia
siwezi kuwa mzalendo kwenye kitu kama mapenzi kwangu waganda ni bado sana kwa wanawake wa ki Tanzania labda ningekua siwafahamu ningesema nawaonea sjui kwa nyinyi wengine ila kwangu hapanaSio kila kitu kuweka uzalendo