Pambano: Nchi gani iko juu kwa wanawake wenye mpindo mzuri ama miili mizuri yenye makalio ya viwango kati ya Wanyarwanda na Waganda?

Pambano: Nchi gani iko juu kwa wanawake wenye mpindo mzuri ama miili mizuri yenye makalio ya viwango kati ya Wanyarwanda na Waganda?

Katika hili pambano mimi binafsi kusema ule ukweli nikiangalia ukanda wa maziwa makuu hapa Afrika Mashariki, kwa ujumla inapokuja swala la shepu hasa mpindo mzuri wa makalio ama Matrakoo Wanyarwanda hadi sasa wanaongoza kwa mbali sana, japo hawajazagaa sana huko Dubai na Arabuni ila hawa viumbe wa Kitusi hawana mpinzani hata Duniani wapi no.1 hadi 3.

Vote

A. Wanyarwanda
B. Waganda

Kura yangu nachagua A. Wanyarwanda ni noma sana

Karibu kwa hayo machache

Wadiz
Ukitaka matank mazito,yako hapo bondeni kwa madiba,
Wana miili mikubwa minene mizuri

Sent from my TECNO BE6 using JamiiForums mobile app
 
Tuache mchezo kwa Africa mashariki hapa wanawake wa ki bongo ni Namba moja kidogo na wa kenya mtu anadiliki kusema Uganda kuna wanawake wazuri kuliko TZ uwo ni uwongo kabisa mara sjui Zambia
Sio kila kitu kuweka uzalendo
 
Sio kila kitu kuweka uzalendo
siwezi kuwa mzalendo kwenye kitu kama mapenzi kwangu waganda ni bado sana kwa wanawake wa ki Tanzania labda ningekua siwafahamu ningesema nawaonea sjui kwa nyinyi wengine ila kwangu hapana
 
Back
Top Bottom