johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Lisu na Mbowe wanamuunga mkono Nyalandu.nyalandu atupishe kidogo , tunamtaka kiboko ya jiwe, Antipas Mungwai Lissu
Hivyo hivyo bwashee kwani hiyo nia unatiaje?Mtoa mada unapotosha, sio kweli kwamba tarehe za kuchukua fomu kwa chadema za wagombea urais Ni kati ya tarehe 3 na 15. Bali Ni kutia nia. Hats nyarandu akitia nia sawa tu.Demokrasia itaamua
Lisu ni mwanasheria anaelewa changamoto zitakazomkuta kiutaratibu hivyo kaamua kumbariki LazaroIna maana anamgeuka rafiki yake wa karibu yule yule wa kwao anaeishi nje kimatibabu (kama inavumyosemekana(
Amina bwashee!Ni haki yake kugombea
Nyarandu wataparuana na Lisu
johnthebaptistLisu na Mbowe wanamuunga mkono Nyalandu.
Siasa ni sayansi!
Lissu atagombea akiwa nje ya nchi? arudi kwanza home kabla ya hiyo tarehe 15 June 2020 kwa uhakika wa yeye kugombea. Hata hivyo binafsi namwona kama bado hajakua; huenda akawa msemaji zaidi kuliko kusikilizanyalandu atupishe kidogo , tunamtaka kiboko ya jiwe, Antipas Mungwai Lissu
Endelea kukariri......hata Lowassa mlisema ni propaganda!Acha kutembeza propaganda kwenye jambo nyeti kama hili
Kiukweli, chadema wametenda haki kuruhusu demokrasia kwenye kugombea urais sio maccmHivyo hivyo bwashee kwani hiyo nia unatiaje?
Tuache demokrasia ichukue mkondo wake.
Maendeleo hayana vyama!
Nitajie mwanasiasa mmoja tu mwenye historia nzuri!Historia ya Nyalandu kiuadilifu ni mbaya hauziki. Ni mpiga dili mno. Lifist kupitiliza ,akipewa ugombea ni kujimaliza chadema. Wasijaribu.
Mkuu ndo uzuri Wa demokrasia wacha achukue fomu, wenzake wataamua.sio maccm wanalazimisha mgombea mmoja tu hats kama wanaccm wengine wanatamani kuomba nafasi hyo.Lissu atagombea akiwa nje ya nchi? arudi kwanza home kabla ya hiyo tarehe 15 June 2020 kwa uhakika wa yeye kugombea. Hata hivyo binafsi namwona kama bado hajakua; huenda akawa msemaji zaidi kuliko kusikiliza