Uchaguzi 2020 Pambazuko: Lazaro Nyalandu kugombea urais kwa tiketi ya CHADEMA

Uchaguzi 2020 Pambazuko: Lazaro Nyalandu kugombea urais kwa tiketi ya CHADEMA

Jo ukilala CHADEMA
Ukiamka CHADEMA
Ukipumua CHADEMA
Ukila CHADEMA
Mawazo yako yote 95% ni CHADEMA... Jitahidi uwe na KIASI.. Unaweza kuja kupata maradhi mabaya yatakayoitwa CHADEMAPHOBIA...
Ukiendelea hivi unaweza kuja kuwa kama Prince Bangeda alivyokuwa anamuandama Lyatonga...

Jr[emoji769]
 
Wakati wowote kuanzia sasa aliyekuwa mbunge kwa tiketi ya CCM na baadae kujiuzulu na kuhamia Chadema Mh. Lazaro Nyalandu atachukua fomu za kugombea urais.
Duuh . . . he is not a presidential material at all. Hana kabisa hiyo karma. CHADEMA watafute mwingine sio huyu kama kweli wanataka kushindana
 
Mtoa mada unapotosha, sio kweli kwamba tarehe za kuchukua fomu kwa chadema za wagombea urais Ni kati ya tarehe 3 na 15. Bali Ni kutia nia. Hats nyarandu akitia nia sawa tu.Demokrasia itaamua
Hakujawahi kuwa na demokrasia chadema kumbuka ya Lowasa
 
Jo ukilala CHADEMA
Ukiamka CHADEMA
Ukipumua CHADEMA
Ukila CHADEMA
Mawazo yako yote 95% ni CHADEMA... Jitahidi uwe na KIASI.. Unaweza kuja kupata maradhi mabaya yatakayoitwa CHADEMAPHOBIA...
Ukiendelea hivi unaweza kuja kuwa kama Prince Bangeda alivyokuwa anamuandama Lyatonga...

Jr[emoji769]
Bwashee nilijiunga Chadema 1993 nadhani wewe ulikuwa bado unajifunza miziziology kule Ugweno.

Hahahaaaa........!
 
Duuh . . . he is not a presidential material at all. Hana kabisa hiyo karma. CHADEMA watafute mwingine sio huyu kama kweli wanataka kushindana
Upo uwezekano mkubwa CHADEMA ikamsimamisha Kiongozi wa DINI kuwa mgombea Urais, taarifa za chini ya kapeti zinadai ni yule mpatanishi wa madhabauni kati ya Mbowe Mugabe na Kiongozi wa Mkoa fulani!
 
Back
Top Bottom