Uchaguzi 2020 Pambazuko: Lazaro Nyalandu kugombea urais kwa tiketi ya CHADEMA

Uchaguzi 2020 Pambazuko: Lazaro Nyalandu kugombea urais kwa tiketi ya CHADEMA

yaani huyo jamaa sio presidential outfit kabisa, atafutwe mtu aliyekuzwa upinzani hata kama ni kuunga mkono chama kingine lakini sio nyalandu aliyetokea ccm. yatarudiwa yale ya 2015 ndo mtachoka zaidi
Kumpata asiyetokea CCM siyo rahisi labda Zitto Kabwe au JJ Mnyika!
 
Hawawezi kuparuana kwa sababu Lissu anakaa kwenye jumba la Nyarandu na isitoshe keisha mtafutia 'BEBERU' la kumliwaza!
Hahahaa huyu Nyalandu I wakati waziri wa maliasili na utalii alikuwa muda mwingi anaishi na mabeberu huko USA baada ya kunogewa akaja Tanzania akadai mabeberu yanataka yeye Nyalandu ndo awe rais wa JMT. Hakuna aliyemsikiliza kwa hasira akatimkia kwa marafiki wa mabeberu wake chadema. Nyalandu na Lissu wanapenda mabeberu na wanaishi nayo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuh . . . he is not a presidential material at all. Hana kabisa hiyo karma. CHADEMA watafute mwingine sio huyu kama kweli wanataka kushindana
Mwingine watamtoa wapi? List ndio imeisha ukumbuke Mbowe aliwahi kugombea kura alizopata Hana hamu tena akaona size yake ni ubunge. Acha walete boya jingine wapate kura za familia zao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huenda naye akawepo, chama kitaamua.uzuri Wa chadema Ni demokrasia sio ccm.
Hii ndio demokrasia. Msome Sungura jinsi mlivyo na Uhuru Hadi Mdee na Bulaya wanajulikana.
JamiiForums1132841034_148x256.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chadema pindi watakapopata mgombea wa urais waandae vipindi vya runinga(mbali na mikutano ya kampeni) wascript maswali yatakayomkuza mgombea wao ili aonyeshe uwezo wa kujibu na kuzungumzia mambo mapana ya kitaifa na kimataifa.....

Ajinadi kupitia platform hii.
 
Hela ya kulipia hivyo vipindi vya luninga ndio mtihani bwashee!
 
Mwingine watamtoa wapi? List ndo imeisha ukumbuke Mbowe aliwahi kugombea kura alizopata Hana hamu tena akaona size yake ni ubunge. Acha walete boya jingine wapate kura za familia zao.

Sent using Jamii Forums mobile app
Labda Lissu, maana pia kutengeneza presidential nominees sio mchezo na ni kazi ambayo CHADEMA hawakuifanya kwa miaka minne iliyopita na sasa inawagharimu
 
C wana platform zao za online tv... wanaeza kuwa na program fupi fupi( wabongo huwa wanalinda mb zao) waeleze walichokifanya(bila kutoa sababu/visingizio) ... walipofikia... na kama wakipewa nafasi watafikisha wapi... waeleze kwann wapewe uongozi... kwe tv wanafanya mara chache kwa ule muda muhimu tu.
Hela ya kulipia hivyo vipindi vya luninga ndio mtihani bwashee!
 
Kwa kilichotokea 2015 sioni kama ni sahihi kumpa Nyalandu nafasi ya kugombea urais.
 
Si wana platform zao za online TV ... wanaeza kuwa na program fupi fupi ( wabongo huwa wanalinda MB zao) waeleze walichokifanya(bila kutoa sababu/visingizio) ... walipofikia ... na kama wakipewa nafasi watafikisha wapi ... waeleze kwanini wapewe uongozi... kwe tv wanafanya mara chache kwa ule muda muhimu tu.
Wapiga kura wengi ni watazamaji wa luninga za kawaida!
 
Hahahaa huyu Nyalandu I wakati waziri wa maliasili na utalii alikuwa muda mwingi anaishi na mabeberu huko USA baada ya kunogewa akaja Tanzania akadai mabeberu yanataka yeye Nyalandu ndo awe rais wa JMT. Hakuna aliyemsikiliza kwa hasira akatimkia kwa marafiki wa mabeberu wake chadema. Nyalandu na Lissu wanapenda mabeberu na wanaishi nayo.

Sent using Jamii Forums mobile app

Ukiona mtu anatumia neno beberu karne hii ujue ni mzee, na kama ni kijana ni wale wenye mitazamo ya kizee.
 
Lissu ndio game changer, hakuna mgombea yoyote anayeingia kwenye kila nyumba ya mpiga kura nchi hii.
Lisu atakumbana na mapingamizi mengi ni heri mkamuunga mkono Zitto Kabwe!
 
Back
Top Bottom