Uchaguzi 2020 Pambazuko: Lazaro Nyalandu kugombea urais kwa tiketi ya CHADEMA

Uchaguzi 2020 Pambazuko: Lazaro Nyalandu kugombea urais kwa tiketi ya CHADEMA

Hata Trump walisema hawezi kushindana lakini uchaguzi ulipofika aliwashangaza wengi!
yaani huyo jamaa sio presidential outfit kabisa, atafutwe mtu aliyekuzwa upinzani hata kama ni kuunga mkono chama kingine lakini sio nyalandu aliyetokea ccm. yatarudiwa yale ya 2015 ndo mtachoka zaidi
 
Ina maana anamgeuka rafiki yake wa karibu yule yule wa kwao anaeishi nje kimatibabu (kama inavumyosemekana(
Acha ushamba,,kutia Nia Ni kugeuka?,tatizo la wabongo nafasi za uongozi wanazigeuza za kuganga njaa,,
Chadema hatugangi njaa,kila mtu Yuko huru kutia Nia na demojrasi itaamua.
 
Back
Top Bottom