johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
- #41
Hata Trump walisema hawezi kushindana lakini uchaguzi ulipofika aliwashangaza wengi!Duuh . . . he is not a presidential material at all. Hana kabisa hiyo karma. CHADEMA watafute mwingine sio huyu kama kweli wanataka kushindana