Uchaguzi 2020 Pambazuko: Lazaro Nyalandu kugombea urais kwa tiketi ya CHADEMA

Uchaguzi 2020 Pambazuko: Lazaro Nyalandu kugombea urais kwa tiketi ya CHADEMA

Sasa huyu si anaenda kumaliza mafuta ya magari ya Chadema?
 
Jo ukilala CHADEMA
Ukiamka CHADEMA
Ukipumua CHADEMA
Ukila CHADEMA
Mawazo yako yote 95% ni CHADEMA... Jitahidi uwe na KIASI.. Unaweza kuja kupata maradhi mabaya yatakayoitwa CHADEMAPHOBIA...
Ukiendelea hivi unaweza kuja kuwa kama Prince Bangeda alivyokuwa anamuandama Lyatonga...

Jr[emoji769]
Mnaanza kupangia watu waandike kitu gani! Hii ni dalili maji ya shingo yamewakuta.
 
nyalandu atupishe kidogo , tunamtaka kiboko ya jiwe, Antipas Mungwai Lissu
Hahaha...nani anataka aibu ya karne? unadhani wao wajinga? Zitto mwenyewe na tamaa zake hawezi thubutu kugombea dhidi ya Magufuli, kupata kura chini ya asilimia 4 ni aibu ambayo wanamtafuta wa kumsukumia hilo zigo.
 
Kila la heri kwake kwa Sasa wamefika watatu, Lissu, Msigwa na Nyalandu
 
Bado turayasikia mengi, habari ina dalili nyingi za kuwa kweli. Inasemekana Mbowe Hamtaki Lissu, Pia huenda iwapo vyama vya upinzani vikishirikiana,

Zitto au Mbowe ndio wapeperusha bendera ya muungani wa Chadema, ACT na vyama vingine vidogo dogo.

NCCR na CUF vitakuwa muungano mwengine.

Magu keshahakikisha yule mzee hatari aliyeogopewa, Mzee kinana, wameshatumia mbinu zote kumdhibiti.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kimalengo ya baadae wamuav=che Nyalandu agombee kwa sasa,kwa sababu.
Wanatakiwa wamuandae mgombea mwingine ambae atakuja kupambana kwa nguvu nyingi katika uchaguzi wa mwaka 2025,ila kwa sasa bado nguvu itakua ndogo sana
Miaka hii mitano watatkiwa kupika vijana sana katika masuala ya kisiasa ikiwezekana kuwapa elimu kubwa ya namna gani uongozi ulivyo pamoja na kuwafunza vijana katika masuala ya kiteknolojia.
Miaka hii mitano watatikiwa kutazama ni wapi wamekosea na wapi waanzie na wapi waje kumalizia.
Unauhakika 2025 kutakuwa na uchaguzi??
 
Ina maana anamgeuka rafiki yake wa karibu yule yule wa kwao anaeishi nje kimatibabu (kama inavumyosemekana(
Kuchukua form ni haki ya kila mwanachama mwenye nia.. hata wewe unaruhusiwa katika chama chako. kuchukua form siyo usaliti
 
Back
Top Bottom