storyteller
JF-Expert Member
- Nov 5, 2014
- 1,511
- 1,844
Ni kweli... ndio maana nasema kwa online vinakua viprogram fulan kufanya mtu akisikia kwamba kutakua let say na debate mgombea wa urais ktk runinga anakua enxious kufuatilia coz nadhani unajua amsha za social media... kama watazitumia bila mihemko... kimsingi wakitaka kuwin upya watu... wasihemke wala wasitoe lawama... wachambue mambo kisha waache watu wafanye uamuzi nani ndio mwenye tatizo... coz ni wazi anajulikana... sema chadema wanachozingua wanashindwa kujipanga ktk kuwasilisha hoja (wanawasilisha kwa emotion/hasira) hadi wanajikuta zinawageuka.
Wapiga kura wengi ni watazamaji wa luninga za kawaida!