Abul Aaliyah
JF-Expert Member
- Nov 8, 2016
- 7,718
- 5,899
Kwanza matakwa ya Mbowe kwenye kugombea urais ndio yatazingatiwa hapo chadema
Kugombea urais kwa tiketi ya Chadema ni jambo nyeti?johnthebaptist
Acha kutembeza propaganda kwenye jambo nyeti kama hili
Kwanza mbona haonekani? Amejificha?Mbowe mwenye chama karidhika?
Mnaanza kupangia watu waandike kitu gani! Hii ni dalili maji ya shingo yamewakuta.Jo ukilala CHADEMA
Ukiamka CHADEMA
Ukipumua CHADEMA
Ukila CHADEMA
Mawazo yako yote 95% ni CHADEMA... Jitahidi uwe na KIASI.. Unaweza kuja kupata maradhi mabaya yatakayoitwa CHADEMAPHOBIA...
Ukiendelea hivi unaweza kuja kuwa kama Prince Bangeda alivyokuwa anamuandama Lyatonga...
Jr[emoji769]
Hahaha...nani anataka aibu ya karne? unadhani wao wajinga? Zitto mwenyewe na tamaa zake hawezi thubutu kugombea dhidi ya Magufuli, kupata kura chini ya asilimia 4 ni aibu ambayo wanamtafuta wa kumsukumia hilo zigo.nyalandu atupishe kidogo , tunamtaka kiboko ya jiwe, Antipas Mungwai Lissu
Ahaaaa. Teeeeeh.Kwa kilichotokea 2015 sioni kama ni sahihi kumpa Nyalandu nafasi ya kugombea urais.
Uwenda anaona haya katoka kwenye serikali yenye neema na mafanikio kakimbilia kwa wafu.AibuKwanza mbona haonekani? Amejificha?
Unauhakika 2025 kutakuwa na uchaguzi??Kimalengo ya baadae wamuav=che Nyalandu agombee kwa sasa,kwa sababu.
Wanatakiwa wamuandae mgombea mwingine ambae atakuja kupambana kwa nguvu nyingi katika uchaguzi wa mwaka 2025,ila kwa sasa bado nguvu itakua ndogo sana
Miaka hii mitano watatkiwa kupika vijana sana katika masuala ya kisiasa ikiwezekana kuwapa elimu kubwa ya namna gani uongozi ulivyo pamoja na kuwafunza vijana katika masuala ya kiteknolojia.
Miaka hii mitano watatikiwa kutazama ni wapi wamekosea na wapi waanzie na wapi waje kumalizia.
Kuchukua form ni haki ya kila mwanachama mwenye nia.. hata wewe unaruhusiwa katika chama chako. kuchukua form siyo usalitiIna maana anamgeuka rafiki yake wa karibu yule yule wa kwao anaeishi nje kimatibabu (kama inavumyosemekana(
Ahaa.ila sina chama mkuuKuchukua form ni haki ya kila mwanachama mwenye nia.. hata wewe unaruhusiwa katika chama chako. kuchukua form siyo usaliti
Ile KUB inamuhusu Mbatia....atakuwa na wabunge wasiopungua 20Unafikiri amesahau alivyoangukia pua alipogombea urais wa JMT? Kwa Sasa ubunge wenyewe akipata atashangaa.
Sent using Jamii Forums mobile app