Nafuatilia hali ya Iran, sidhani kama Iranian regime inaweza ika-survive kwa saa 48 zijazo kutoka sasa. Polisi wamegoma kupokea orders

Nafuatilia hali ya Iran, sidhani kama Iranian regime inaweza ika-survive kwa saa 48 zijazo kutoka sasa. Polisi wamegoma kupokea orders

britanicca

Platinum Member
Joined
May 20, 2015
Posts
18,261
Reaction score
48,864
Nafuatilia hali ya Iran, sidhani kama Iranian regime inaweza ika survive kwa masaa 48 yajayo kutoka sasa.

Police wa Iran wamegoma kupokea orders za IRGC.

Reza Pahlavi, ambaye ni crown prince wa Iran anayeishi nchini Marekani, ametuma ujumbe kwa majeshi ya Iran kufanya chagua la kihistoria kwa kusimama upande wa watu wa Iran badala ya Islamic Republic regime.

Majeshi yameonekana kutii ujumbe huo wa video, utii huo umepelekea viongoza wa serikali na familia zao kuanza kutoroka nchini.

Sasa hivi wananchi wanaonekana kushikilia majimbo na kuyaongoza pasipo uwepo wa serikali.

Wanajeshi wa vikosi vya IRGC wanaonekana kuchoka, kuelemewa na kutokuwa sawa kisaikolojia. Wengi wanaonekana kukimbia hovyo wakiondoka maeneo yenye vurugu



08c6d23f-d1a2-4eca-a0d6-ca467f09747d.jpeg


Britanicca
 
ukombozi kwetu pia unakaribia, kwani fisadi papa linatokea huko, islamic republic of iran imekuwa iki-destabiliize nchi nyingi tu duniani pamoja na yetu, mnakumbuka ni mara ngapi meli za irani zilionekana na bendera ya tanzagiza ili kukwepa sanctions, nani aliwawezesha kama siyo fisadi papa? ...
 
Make America Great Again (MAGA)

Hiyo ndio kauli kuu ya trump

Kaanza Venezuela, anakuja Greenland, kisha Kolombia huku Iran kamwachia mwanae Israel.

Huyu jamaa tuliona kama ni kichaa mpaka tu nashangaa inakuwaje wa Marekani wanamchagua mtu kama yule kumbe walikuwa wana maana.

USA inarejesha ufalme wake uliokuwa unapotea.
 
ukombozi kwetu pia unakaribia, kwani fisadi papa linatokea huko, islamic republic of iran imekuwa iki-destabiliize nchi nyingi sana duniani pamoja na yetu, mnakumbuka ni mara ngapi meli za irani zilionekana na bendera ya tanzagiza ili kukwepa sanctions, nani aliwawezesha kama siyo fisadi papa? ...
Safi sana if it is true
 
IRGC ni nini mkuu ?
Iranian Revolution Guard Corps. Hilo ni jeshi la kulinda mapinduzi ya Kiislamu ya Iran. Ndio linapewa kipaumbele na kupewa silaha muhimu na kulinda utawala wa Ayatollah. Pia linasambaza ushawishi wa kijeshi kwa makundi na nchi rafiki za Iran. Kuanzia Syria, kwa Hamas, Hezbollah, Houthi na Iraq kote ni wao.

Ni tofauti na jeshi la Iran, ambalo linalinda mipaka ya nchi hili ni maalum ikitokea vita. Halina ushawishi wala maofisa wa ngazi ya juu na hili ndio jeshi la mwanzo kabisa la utawala wa zamani wa Shah.

IRGC ni somehow kama RSF ya Sudan. Ni kama UVCCM wawe na jeshi au kama Interahamwe wa Burundi. Ila wao wako more effective, organized na wana budget kubwa na wana wapinzani wakubwa kabisa.
 
Back
Top Bottom