Tuwaulize nyie mnaolalamika hovyo mitandaoni..Kwa maelezo ya waziri mkuu mstaafu mhe. Msuya akiwa kwenye kipindi cha dk 45 cha itv, ni kama amemaanisha kwamba uwepo wa magari mengi mjini au barabarani ni kutokana na hali za maisha kutofanana. Ni kama vile wanaotumia vyombo hivyo hawaoni tofauti ya kupanda kwa bei. Na kwamba wana hali nzuri kifedha.
Je, ni kweli? Au wanapambana tu na hali kwa kuwa hakuna namna nyingine?
Tunalalamika kwasababu, utake au usitake ili kuweza kufika eneo la kujipatia riziki (ofisini) ni lazima utumie usafiri. Kwahiyo kupanda kwa bei ya mafuta kumeathiri uchumi. Kama ulikuwa unatumia kwa mfano elfu 2000 kwa siku kwa ajili ya nauli utatumia 4000!Tuwaulize nyie mbaolalamika hovyo mitandaoni..
Hata hivyo Takwimu za Uchumi kwa robo ya kwanza ya mwaka 2022 zinaonyesha kupungua kwa ukuaji kwa sekta ya uchukuzi kutoka 8.5% hadi 3% bila shaka sababu kubwa ni gharama za usafiri kuwa juu.
Thread closed!Ambao bado wanaendesha magari ni wanawake na usiulize pesa wanatoa wapi. Ukiona mwanaume anaendesha gari lake binafsi ujue ni mambo safi au menu ya nyumbani ni chai ya rangi viazi vitamin kwa dona na sukumawiki.
Serikali ijitahidi kuwa na ceiling kwamba Bei isizidi kiasi fulani then hata upande zaidi kwingine wao waongeze ruzuku.Tunalalamika kwasababu, utake au usitake ili kuweza kufika eneo la kujipatia riziki (ofisini) ni lazima utumie usafiri. Kwahiyo kupanda kwa bei ya mafuta kumeathiri uchumi. Kama ulikuwa unatumia kwa mfano elfu 2000 kwa siku kwa ajili ya nauli utatumia 4000!
Na pia bidhaa zote zimepanda bei kwa kisingizio cha vita. Hadi zile zinazotoka shambani moja kwa moja mfano mbogamboga, matunda nk.
Inabidi wamshauri mkuu wa nchi akemee kupanda kwa bei ya bidhaa kiholela kwa kisingizio cha vita vya urusi na ukraine.
Yaani vita vinapiganwa ukraine, Mabomu yanarushwa Tz! Duh!
Hili ndio jibu sahihi.kwasababu maisha lazima yaendelee.Unajibana uku ili ufanye uku.Kwa vyovyote vile tathmini ya mwisho ndio itakayotoa majibu na kwa hakika lazima kuna sekta zitakua zimeanguka au hazitafanya vizuri au kufikia malengo kwasababu ya hali ya kiuchumi,mfumuko wa bei na mafuta kwa ujumla.Kwakuanzia tu hali ya bei ya mafuta lazima itaathiri uchumi wa mtu mmoja mmoja kwa kiwango kikubwa.Hizo zingine ni porojo za wanasiasa wanaolamba asali ambazo zipo miaka na miaka.Kwa nionavyo, wengi wanapambana tu na hali.
Hii ni kweli, na yakipotea utaona impact yake watu wataandamana. Pesa ipo japo kwa mbaali sanaKwa maelezo ya waziri mkuu mstaafu mhe. Msuya akiwa kwenye kipindi cha dk 45 cha itv, ni kama amemaanisha kwamba uwepo wa magari mengi mjini au barabarani ni kutokana na hali za maisha kutofanana. Ni kama vile wanaotumia vyombo hivyo hawaoni tofauti ya kupanda kwa bei. Na kwamba wana hali nzuri kifedha.
Je, ni kweli? Au wanapambana tu na hali kwa kuwa hakuna namna nyingine?
Mbona magari yamepungua sana tu majuzi nilikuwa kkoo mitaa ni empty ukitaka kuvuka barabara ni rahisi...magari mengi yanaonekana jioni na asihuhi ...sasa hivi watu wana punguza matumizi polepole ili kuzoea njia mpya za usafili hadi miezi 2 kutoka sasa utaona magari yatauzwa sana tena yatashuka bei sana ....kwa sasa watu wanasikilizia kama mafuta yatashuka ....kwa sasa kumiliki gari ni sawa na kuuguza mgonjwa wa figo.Kwa maelezo ya waziri mkuu mstaafu mhe. Msuya akiwa kwenye kipindi cha dk 45 cha itv, ni kama amemaanisha kwamba uwepo wa magari mengi mjini au barabarani ni kutokana na hali za maisha kutofanana.
Ni kama vile wanaotumia vyombo hivyo hawaoni tofauti ya kupanda kwa bei. Na kwamba wana hali nzuri kifedha.
Je, ni kweli? Au wanapambana tu na hali kwa kuwa hakuna namna nyingine?
Unataka sema masikini ni wengi sana TzAmbao bado wanaendesha magari ni wanawake na usiulize pesa wanatoa wapi. Ukiona mwanaume anaendesha gari lake binafsi ujue ni mambo safi au menu ya nyumbani ni chai ya rangi viazi vitamin kwa dona na sukumawiki.