Pamoja na GSM kumwaga hela kwa timu SImba inacheza nazo kama tulivyoona kwa Prison Kuaahidiwa hela nyingi wakiifunga SIMBA bado simba msimu huu tunawakati Mgumu sana. Kwa Yanga hii me nadeclare Mapema KABISA YANGA HATUWAWEZI MSIMU HUU TENA.
Pia mechi za YANGA vs SIMBA na SIMBA vs YANGA hapa yanga atachukua point 4 au 6 kwa sababu SIMBA ikicheza na YANGA miaka ya hivi karibuni imekuwa ovyo sana me game hizi hata siende uwanjani najua kabisa nitaumiza roho yangu.