Kambaku
JF-Expert Member
- Nov 12, 2011
- 8,332
- 31,306
Ujinga ni pale mtu anapokosa ushindi anatafuta sababu za kijinga. Eti Yanga anahonga timu zinazocheza na Simba, sasa hapa wewe unaona kuna Logic?
Simba aliyefungwa na Yanga nae alihongwa Tsh ngapi?
Mna shida sana makolokocho. Mara Yanga anahonga team pinzani, mara hamumtaki Matola nyie kwenu jema ni lipi aisee. Wewe kwa akili yako finyu, kama mnakosa ubingwa sababu Yanga anahonga timu pinzani zenu kwanini mnafukuza makocha? Ni kuwa mnawafukuza sababu timu ni mbovu. Sasa hapa Yanga anaingiaje.
Makolokocho tulieni. Jengeni timu yenu ya uongozi ili ijenge timu ya uwanjani