ilikuwaje akakuacha?Mse ni kifupi cha Msendema huyu ni wanawake wangu tulioishi nae miaka 8, nilimpenda sana na nilifanya juhudi sana kufahamu lugha ya kwao kisandawe na hii ni sababu ya yeye kuwa na mazoea ya kuongea na mama yake kwa kikwao kila siku na akiongea lazima hunipa simu nimsalimie basi niliadhimia nijifunze lugha yao ili mambo yawe safi si umnajua ukipenda ua penda na boga lake niliweza vizuri tu na nikawa pia namsalimia mama yake kwa lugha yao
Sasa last week ameniacha tena ameniacha vibaya sana issue sio kuachwa hapa issue ni hii lugha niliyojifunza nawaza nitakuwa naongea na nani!
"mse Mungu anakuona"
View attachment 2939024
We jamaa!Mse ni kifupi cha Msendema huyu ni wanawake wangu tulioishi nae miaka 8, nilimpenda sana na nilifanya juhudi sana kufahamu lugha ya kwao kisandawe na hii ni sababu ya yeye kuwa na mazoea ya kuongea na mama yake kwa kikwao kila siku na akiongea lazima hunipa simu nimsalimie basi niliadhimia nijifunze lugha yao ili mambo yawe safi si umnajua ukipenda ua penda na boga lake niliweza vizuri tu na nikawa pia namsalimia mama yake kwa lugha yao
Sasa last week ameniacha tena ameniacha vibaya sana issue sio kuachwa hapa issue ni hii lugha niliyojifunza nawaza nitakuwa naongea na nani!
"mse Mungu anakuona"
View attachment 2939024
Sasa na hiki kiluga chao nilichojifunza mimi nitaongea na nani jamani?We jamaa!
Wala usiumie kabisa!!!
Sio wako huyo was kwako yupo!
Asikudanganye eti pesa,pesa haijawahi kukuza thamani ya mtu hasta siku moja,pesa ni matokeo,usipendane na Dem kisa eti unampa pesa!kama hakupendi hakupendi tu hata umpe Benki,pesa haiwezi chukua nafasi yako ndani ya moyo wa mtu!!
Sisi wanaume tunajidanganya sana na hii kampeni ya tafuta hela!!
Kama tunatafuta hela Kwa ajili ya umalaya sawa lakini siyo substitute ya kupendwa na mtu!!
Sasa last week ameniacha tena ameniacha vibaya sana issue sio kuachwa hapa issue ni hii lugha niliyojifunza nawaza nitakuwa naongea na nani!
WAVUNA CHAI WA WAPI HAWA ??Kufa kwa mahusiano yako na binti yasikufanye uue mahusiano na mama yake, endelea kuwasiliana na mama yake.
Anyway, hii chai kama vile ilikosewa toka shambani
View attachment 2939998
CCM walikuwa wanafundishwa ujasiriamali baada ya kuachia madaraka wajiajiriWAVUNA CHAI WA WAPI HAWA ??