Pamoja na juhudi kubwa niliyofanya kufahamu lugha yao, msichana wangu Msandawe amenicha

Pamoja na juhudi kubwa niliyofanya kufahamu lugha yao, msichana wangu Msandawe amenicha

Mse ni kifupi cha Msendema huyu ni wanawake wangu tulioishi nae miaka 8, nilimpenda sana na nilifanya juhudi sana kufahamu lugha ya kwao kisandawe na hii ni sababu ya yeye kuwa na mazoea ya kuongea na mama yake kwa kikwao kila siku na akiongea lazima hunipa simu nimsalimie basi niliadhimia nijifunze lugha yao ili mambo yawe safi si umnajua ukipenda ua penda na boga lake niliweza vizuri tu na nikawa pia namsalimia mama yake kwa lugha yao

Sasa last week ameniacha tena ameniacha vibaya sana issue sio kuachwa hapa issue ni hii lugha niliyojifunza nawaza nitakuwa naongea na nani!

"mse Mungu anakuona"

View attachment 2939024
Kawe tour guide basi
 
If you want your woman to respect you,do the following
1.Give her money
2.Always giver her money
3.Dont go out without giving her money
4.Dont talk a lot ,give her money
5.If money finishes go and borrow more money and giver her.
Unafukarisha wanaume wewe. Ukifanya hivyo mwanamke atakudharau kwa kukuona hayawani
 
Ndio shida ya kuoa mwanamke mmoja. Kuwa nao kumi uone kama utakuwa na presha. Mfalme Selemani alikuwa nao 700 na michepuko 300. Aliishi maisha yaliyobarikiwa!
 
Hiyo Lugha fanya kuongea peke yako!

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Hapo sasa itabidi umtafute mwanamke mwingine wa kisandawe umsemeshe kwa lugha yao atakuelewa vizuri.Tahadhari hawa nao ni wale wanaodumisha mila kwa hiyo usitegemee kama wewe si msandawe kuweza kuruhusiwa mumuoa binti wa kisandawe.
 
Back
Top Bottom