Pamoja na Katiba Mpya Kenya, Polisi wapiga marufuku Maandamano. CHADEMA jifunzeni kitu Hapo!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Tunavyoiendea Katiba Mpya tujifunze kwa wenzetu waliotangulia kuzipata ili ya kwetu iwe bora zaidi

Mfano hapo Kenya pamoja na Katiba Mpya bado polisi wamezuia Maandamano ya kesho sasa Wana tofauti gani na Tanzania yenye Katiba ya zamani!!

Mlale unono!
 
Kwa hiyo tuachane na madai ya Katiba mpya? Hapana. Wacha tuipate kwanza, hayo mengine tutajuana huko mbele ya safari.

Kumbuka pia Kuwa siyo lazima kinachotokea Kenya kije kitokee kwetu pia. Endapo kitatokea tutajua jinsi ya kushughulika nacho wakati huo.
 
Tunavyoiendea Katiba Mpya tujifunze kwa wenzetu waliotangulia kuzipata ili ya kwetu iwe bora zaidi

Mfano hapo Kenya pamoja na Katiba Mpya bado polisi wamezuia Maandamano ya kesho sasa Wana tofauti gani na Tanzania yenye Katiba ya zamani!!

Mlale unono!
Watakwambia Polisi wanatekeleza Katiba Mpya 🤪🤪🤪🤪

Ndio maana nawaambia wanaohangaika na Katiba Mpya wasidhani kwamba itawaletea ugali mezani Wala kubadili Hali ya maisha Yao..

Kinachoitwa Katiba Mpya ni faida Kwa Wanasiasa ambao Wala hawako concerned na maisha ya watu ila wanafanya maigizo coz watu wengi ni wajinga..

Tafuteni Katiba Mpya at your own risk ila has nothing to do with your welfare na Wala haitasababisha Mahakama au Polisi kuacha kupokea rushwa..

Huna pesa utaendelea ku toil.
 
Kwa hiyo unataka tuwe kama China ambao watoto wao walivyoandamana wakawapelekea vifaru kuwaponda Tiananmen square?
Kuwa na katiba ni jambo lingine na kwa walio madarakani kuilinda hiyo katiba ni jambo lingine, kama katiba hii hii mbovu viongozi wa serikali ya CCM hawailindi na wanavunja katiba yenyewe kama yule shetani aliyeenda kuzimu alivyozuia shughuli halali za kisiasa inaonyesha hoja yako haina mashiko
 
Watakwambia Polisi wanatekeleza Katiba Mpya 🤪🤪🤪🤪

Ndio maana nawaambia wanaohangaika na Katiba Mpya wasidhani kwamba itawaletea ugali mezani Wala kubadili Hali ya maisha Yao..

Kinachoitwa Katiba Mpya ni faida Kwa Wanasiasa ambao Wala hawako concerned na maisha ya watu ila wanafanya maigizo coz watu wengi ni wajinga..

Tafuteni Katiba Mpya at your own risk ila has nothing to do with your welfare na Wala haitasababisha Mahakama au Polisi kuacha kupokea rushwa..

Huna pesa utaendelea ku toil.
Akili za kutokuelewa na kukata tamaa hizi, go educate yourself and grow some balls, nchi ya wote hii sio wengine kwa sababu ya vyeo wanapewa kinga za mashtaka na kufanya wanavyotaka, mtoto wa kiume hutakiwi kuwa soft namna hiyo, na source kubwa ya umaskini wa nchi ni uvunjaji wa haki na makatiba mabovu kama tuliyonayo, unaongeaga big game kwenye uchumi lakini unasahau pasipo na haki ni umaskini mtupu, Katiba mpya kwanza kama huelewi usione aibu kuuliza
 
Nikate tamaa na jambo gani hasa?

Kama una pesa utafanya unavyotaka na hakuna wa kukugusa.
 
Tunavyoiendea Katiba Mpya tujifunze kwa wenzetu waliotangulia kuzipata ili ya kwetu iwe bora zaidi

Mfano hapo Kenya pamoja na Katiba Mpya bado polisi wamezuia Maandamano ya kesho sasa Wana tofauti gani na Tanzania yenye Katiba ya zamani!!

Mlale unono!
Ujue yupo atakaye wajibika
 
Dah kwa hiyo mnasema Katiba Mpya haitaleta ugali mezani kwangu? acha tu nitafute pesa
 
Back
Top Bottom