Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ipo sana Africa where wananchi wapo wapo kama misukuleKuwa kiongozi ni kuweka pamba masikioni, Kuvaa mawani isiyoona utu na thamani ya binadamu alafu kuchapa kazi ..
Punguza ujinga.Kama hujui faida ya katiba bora wewe huna faida yoyote duniani.Watakwambia Polisi wanatekeleza Katiba Mpya [emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957]
Ndio maana nawaambia wanaohangaika na Katiba Mpya wasidhani kwamba itawaletea ugali mezani Wala kubadili Hali ya maisha Yao..
Kinachoitwa Katiba Mpya ni faida Kwa Wanasiasa ambao Wala hawako concerned na maisha ya watu ila wanafanya maigizo coz watu wengi ni wajinga..
Tafuteni Katiba Mpya at your own risk ila has nothing to do with your welfare na Wala haitasababisha Mahakama au Polisi kuacha kupokea rushwa..
Huna pesa utaendelea ku toil.
Mbona Nchi nyingi hazina hizo Katiba Mpya na mambo ni bambam?Punguza ujinga.Kama hujui faida ya katiba bora wewe huna faida yoyote duniani.
Wewe ndo uache ujinga.unadhani hizo nchi zimeshushwa toka mbinguni zikawa hivyo zilivyo.Ukiona jambo zuri jua halikuja kama ndoto,kuna watu walilipambania.wewe kama hauko kwenye kundi la watu wakuliweka hili taifa lije kua mfano uko mbele kama ambavyo unatoa mifano kwa nchi zingine kaa utulie wenye akili wafanye.Mbona Nchi nyingi hazina hizo Katiba Mpya na mambo ni bambam?
Egypt Ina Katiba kama hizo zenu? Kipi mnaizidi?China Je?
Acha upuuzi wako
Ilo unasema wewe.Acha kuweka mawazo yako kwenye vichwa vya watu wengine ambani ni smart kuliko wewe.Mimi naamini kabisa tunahitaji Katiba Mpya, ila Katiba Mpya sio kila kitu, nyie CHADEMA msiwaaminishe wafuasi wenu huo uongo.
CHADEMA karibu 90%+ wanafikiria Katiba Mpya itawapata kila kitu, yaani itawapa
1: CHAKULA
2: MVUA
3: MAANDAMANO KILA SIKU
4: FEDHA
5: UONGOZI BORA SANA
6: UTAJIRI MKUBWA
7: UHURU WA KILA KITU
8: KUFANYA WATAKAVYO
9: KUAGA UMASKINI
10: KUWA NCHI YA MAZIWA NA ASALI.
Hivi CHADEMA, mmechanganyikiwa nn? Katiba Mpya mkipata nyie mnajua ndio kila kitu ndio KITAKUJA TOKA WAPI SIJUI, AU MKAJUA VITU VITAKUJA TOKA MBINGUNI BURE BURE TU.
CHADEMA, acheni kuwaaminisha wafuasi wenu kuwa Katiba Mpya ndio kila kitu, sio kweli, hapana, Katiba ni Sheria tu kama nyingine, unaweza kuwa na Katiba nzuri sana, ila shida na matatizo, njaa, umaskini, rushwa, ujinga na elimu mbovu sana iko pale pale..!!
Na katiba tiyari ipo unataka nyingine ya nini?.Itafute wewe ambaye huna sisi tayari tunazo
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
UchumiWewe unataka upate uhuru upi zaidi??
Tofauti ni kubwa sana , kwani Zanzibar bado imekaliwa kwa mabavu na TanganyikaTunavyoiendea Katiba Mpya tujifunze kwa wenzetu waliotangulia kuzipata ili ya kwetu iwe bora zaidi
Mfano hapo Kenya pamoja na Katiba Mpya bado polisi wamezuia Maandamano ya kesho sasa Wana tofauti gani na Tanzania yenye Katiba ya zamani!!
Mlale unono!
Uchumi
Wote tukifanya kazi nani ataenda kwenye mikutano ya kisiasa kujaza nyomi?Fanya kazi. Hapa Kazi Tu[emoji16]
Mkuu Yohane,Tunavyoiendea Katiba Mpya tujifunze kwa wenzetu waliotangulia kuzipata ili ya kwetu iwe bora zaidi
Mfano hapo Kenya pamoja na Katiba Mpya bado polisi wamezuia Maandamano ya kesho sasa Wana tofauti gani na Tanzania yenye Katiba ya zamani!!
Mlale unono!
😆Mkuu Yohane,
Dikteta hata ungeweka msaafu na Bibilia, udikteta haumtoki.
Ujifunze na wewe kitu hapo
Tunavyoiendea Katiba Mpya tujifunze kwa wenzetu waliotangulia kuzipata ili ya kwetu iwe bora zaidi
Mfano hapo Kenya pamoja na Katiba Mpya bado polisi wamezuia Maandamano ya kesho sasa Wana tofauti gani na Tanzania yenye Katiba ya zamani!!
Mlale unono!
Mbona unapanic bila sababuUmeona leo? Wameenda mahakamani kupata katazo, mahakama ikagoma.... Be informed before display your ignorance
Mbona unapanic bila sababu
Mimi naongea na Bazecha siyo Wewe Bavicha!
🤩🤩🤩Waulize jamaa wa jamii forum watengeneze categories ambazo when you tick itaenda huko kwa hao jamaa zako