Pamoja na Katiba Mpya Kenya, Polisi wapiga marufuku Maandamano. CHADEMA jifunzeni kitu Hapo!

Tunavyoiendea Katiba Mpya tujifunze kwa wenzetu waliotangulia kuzipata ili ya kwetu iwe bora zaidi

Mfano hapo Kenya pamoja na Katiba Mpya bado polisi wamezuia Maandamano ya kesho sasa Wana tofauti gani na Tanzania yenye Katiba ya zamani!!

Mlale unono!
Wew ni pimbi sana!! pole kwakuwa...
 
Tunavyoiendea Katiba Mpya tujifunze kwa wenzetu waliotangulia kuzipata ili ya kwetu iwe bora zaidi

Mfano hapo Kenya pamoja na Katiba Mpya bado polisi wamezuia Maandamano ya kesho sasa Wana tofauti gani na Tanzania yenye Katiba ya zamani!!

Mlale unono!

Vipi mbona hukuleta mrejesho? Wameandamana au wamezuiliwa? Mnafurahi sana mkisikia maandamano kuzuiwa. Kazi kweli kweli.
 
Back
Top Bottom