Unayajua madaraka vizuri? Kamuulize Macky Sall wa Senegal au Alasane Qwatra wa Code Voire
Dah kwa hiyo mnasema Katiba Mpya haitaleta ugali mezani kwangu? acha tu nitafute pesa
KATIBA mpya tunayodai TANZANIA Si waliyonayo Kenya.Tunavyoiendea Katiba Mpya tujifunze kwa wenzetu waliotangulia kuzipata ili ya kwetu iwe bora zaidi
Mfano hapo Kenya pamoja na Katiba Mpya bado polisi wamezuia Maandamano ya kesho sasa Wana tofauti gani na Tanzania yenye Katiba ya zamani!!
Mlale unono!
Hakuna Cha tofauti Mzee, principal ni zile zile na wanaosimamia utekelezaji ni watu Hawa Hawa wa Leo na kesho wanaotaka madaraka na pesa..Haya yote ni mafunzo muhimu tutengeneze katiba bora kabisa kama ile ya Marekani ambayo mwendawazimu Trump alishindwa kuichezea.
Sasa Katiba Mpya ya nini hasa ikiwa kile mnalalamikia Bado hakiletwi na Katiba Mpya?Kati ya watu wajinga na ufinyu wa tafukuri ni huyu jamaa... Kwahiyo uliambiwa ndani ya katiba mpya Kuna hoja ya maandamano pekee?, Kwamba kwasababu Kenya polisi wanezuai maandamano basi Tz haihitaji katiba mpya?. Wewe ni sawa na kangi Lugola mkata viuno wa Magufuli....!
Ya Tanzania Ina nini jipya?KATIBA mpya tunayodai TANZANIA Si waliyonayo Kenya.
Mbwiga hujambo lakini"Kati ya watu wajinga na ufinyu wa tafukuri ni huyu jamaa... Kwahiyo uliambiwa ndani ya katiba mpya Kuna hoja ya maandamano pekee?, Kwamba kwasababu Kenya polisi wanezuai maandamano basi Tz haihitaji katiba mpya?. Wewe ni sawa na kangi Lugola mkata viuno wa Magufuli....!
Bob aliwaambia kuwa na Katiba Mpya ni jambo Moja na kuitekeleza ni jambo jingine..Halafu Ruto ameteua ma CAS kinyume na katiba ya Kenya! Kaweka na cheo Cha Waziri Mkuu (Musalia Mudavadi) wakati hakimo katika katiba.
Unaopingana na mkt wako wa chama kuhusu Katiba mpya ndugu Mhafidhina?Bob aliwaambia kuwa na Katiba Mpya ni jambo Moja na kuitekeleza ni jambo jingine..
Mfano Rais anamiliki Central Intelligence Unit ambao huwezi kuwajua akitaka kumshinikiza Spika au Jaji anaweza na ushahidi hakuna maana anawatumia hao hao Jamaa kuwatisha hawataki wanakufa kweli..
Mpaka hapo Katiba zenu zinakuwa zimewasaidia nini?
Wala sipingi na Wala sina Mwenyekiti Kwa sababu mm sio mwanachama wa chama chochote Cha siasa..Unaopingana na mkt wako wa chama kuhusu Katiba mpya ndugu Mhafidhina?
Tunavyoiendea Katiba Mpya tujifunze kwa wenzetu waliotangulia kuzipata ili ya kwetu iwe bora zaidi
Mfano hapo Kenya pamoja na Katiba Mpya bado polisi wamezuia Maandamano ya kesho sasa Wana tofauti gani na Tanzania yenye Katiba ya zamani!!
Mlale unono!
Pole sana, acha wanaojua umuhimu wake waipiganie ili vizazi vyako vijavyo viishi vizuri kwenye jamii inayoongozwa na kuheshimu mfumo wa haki bila kubagua yeyote katika jamiiUnasikitisha Bwashee,Katiba Mpya ni pesa ,huko South Africa Kuna Katiba ila they are living in meserable life
Aisee. Naona unaifanya kazi yako kwa weledi mkubwa. Huku unaeneza taarifa zinazoonyesha utendaji wa hali ya juu wa serikali ya CCM kwa maslahi ya nchi.Watakwambia Polisi wanatekeleza Katiba Mpya 🤪🤪🤪🤪
Ndio maana nawaambia wanaohangaika na Katiba Mpya wasidhani kwamba itawaletea ugali mezani Wala kubadili Hali ya maisha Yao..
Kinachoitwa Katiba Mpya ni faida Kwa Wanasiasa ambao Wala hawako concerned na maisha ya watu ila wanafanya maigizo coz watu wengi ni wajinga..
Tafuteni Katiba Mpya at your own risk ila has nothing to do with your welfare na Wala haitasababisha Mahakama au Polisi kuacha kupokea rushwa..
Huna pesa utaendelea ku toil.
Naona unateseka sana na CHADEMA.Tunavyoiendea Katiba Mpya tujifunze kwa wenzetu waliotangulia kuzipata ili ya kwetu iwe bora zaidi
Mfano hapo Kenya pamoja na Katiba Mpya bado polisi wamezuia Maandamano ya kesho sasa Wana tofauti gani na Tanzania yenye Katiba ya zamani!!
Mlale unono!
Huyajui madhila yanayowapata watu kutokana na uendeshaji wa nchi kwa katiba hii tuliyo nayo iliyopitwa na wakati.Watatandikwa kama last time ,Dunia itaona na haitafanya kitu [emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
Katiba Mpya ni scarm I have been telling you,tafuta pesa tuu ndio walau kuna unafuu.
Wahafidhina, katiba mpya inawapa shida sana....!!Tunavyoiendea Katiba Mpya tujifunze kwa wenzetu waliotangulia kuzipata ili ya kwetu iwe bora zaidi
Mfano hapo Kenya pamoja na Katiba Mpya bado polisi wamezuia Maandamano ya kesho sasa Wana tofauti gani na Tanzania yenye Katiba ya zamani!!
Mlale unono!