Pamoja na kipigo chote hicho, jeshi la Marekani lasema halitaweza kuwazuia Houth kwa njia ya vita.laomba itafutwe njia mbadala kupambana nao.

Houth aedelee tu ila akivuka mpaka ajue kuna makonzi kwake yanamsuburi.. Terror huwa inajibiwa ki terror Muungano wa USA unapiga huku unaona aibu.. Israel anapasua ila kelele piga tu.. Red line ukivuka kajifiche mahandakini na sijui kama Houthi wanayo.. nawashauri waagize mahandaki Kwa hezbollah
 
Houthi anapigwa kila siku na UK na US lakini bado wanakiwasha tu juzi kati wamepiga oparation ya kibabe kufagia wanajeshi 70 wa Israel na us wayemen ni wabishi kuliko unavyofikiria yan hata Talebani wakasome kwa ubishi wao sasa nani atatoboa
 
Kwa kweli wayemeni ni wapiganaji sugu na wenye uchungu na wenzao wakionewa.
Ambaye hawajui basi akaiulize Saudia.Walidhani kwa kuwa madege makubwa kutoka Marekani wangewashinda kirahisi.Mwishowe walisalimu amri wenyewe na bila kufanya hivyo biashara yao ya mafuta ilikuwa inaenda arijojo.
 
Back
Top Bottom