Houth aedelee tu ila akivuka mpaka ajue kuna makonzi kwake yanamsuburi.. Terror huwa inajibiwa ki terror Muungano wa USA unapiga huku unaona aibu.. Israel anapasua ila kelele piga tu.. Red line ukivuka kajifiche mahandakini na sijui kama Houthi wanayo.. nawashauri waagize mahandaki Kwa hezbollah