MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Rejea kuangalia Jezi za Yanga SC za Leo ilizotumia Kucheza na US Monastir ya nchini Tunisia utagundua kuwa Kilichotambulishwa ni Jezi za Juu ( Shati ) tu za Mdhamini Haier ila Bukta zilizotumika ni zile zile za Siku zote zilizotambulishwa mwanzo wa Msimu.
Huu ni Uhuni ambao kamwe haupaswi kufanywa na Klabu inayojipambanua kuwa ni Kubwa na Bingwa nchini Tanzania.
Huenda Laana ya Sport Pesa imechangia Kipigo cha leo na hupenda Laana hii ikaendelea mpaka Jumapili ijayo wakicheza na TP Mazembe FC ambayo leo imemfunga Real Bamako Goli takatifu nzuri 3 - 1 huko Kwao Congo DR.