SAYVILLE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 7,895
- 12,975
Embu tuweke kwanza pembeni rekodi za Simba za hivi karibuni, hivi kuna timu nchi hii ina historia ya kufunga magoli mengi mashindano ya Africa kama Pamba FC?
Unakuwaje na kikosi kama ulichonacho ukijipa matumaini ya kutwaa ubingwa wa Afrika msimu huu, unacheza na timu ambayo hadi msemaji wake hajielewi, wiki nzima mnamzungusha mji mzima kumnunulia suti, halafu unashindwa kuvunja rekodi ya Pamba ya miaka zaidi ya 30 iliyopita? Unaishia kuifunga tugoli tusita, ambazo hazifiki hata goli Simba walizozifunga timu ngumu kama Horoya na Jwaneng tena katika hatua ngumu zaidi ya makundi huku nao wakigombania kwenda robo fainali?
Kama umeshindwa kuifunga goli za kuvunja rekodi ya Pamba timu kama Vital'O ambao wapo wanazurura Kariakoo wìki 2 sasa, utaivunja kwa nani?
Yaani Pamba waliweka rekodi, wakashuka daraja, wakasota weeee huko chini, wamerudi ligi kuu bado kina Pacome na Mwamnyeto wanahaso kuvunja hiyo rekodi yao.
Simba imetoa dozi za sabasaba kama yale maonyesho, ikavunja kikosi kizima na ikawazawadia mastar wake watatu lakini bado kina Nzengeli na Aucho wanahangaika kufikisha goli 7 kwa tutimu tusiojielewa!
Halafu eti wanajiita "Galacticos". Inasikitisha sana.