Pamoja na kucheza na vibonde, Yanga yashindwa kuvunja rekodi za Simba na Pamba

Simba kama Azam tu.
Mapeemaaaa tu nje dhidi ya Al Ahly Tripoli. Mapema mnooo.
 
Wataloga mwaka huu kaka angu SAYVILLE
Piga kichwa bado wanapumua....
Ongezea na jambia la kisigino
 
Nakuunga mkono. Mfano, kwa mechi mbili tu walizocheza moja msimu uliopota na moja msimu huu, matokea yanasomeka hivi;
Yanga 7
Simba 1

Yanga 10
Vital’O 0
 
Muone huyu nae.
 
Hizi Propaganda huwa zinawasaidia nini? Haya basi sawa Simba na Pamba ni bingwa wa Afrika. Kitu pekee cha kujivunia ni kubeba ubingwa hivi vingine ni matatizo ya afya ya akili tu.
 
Kumbe akili zake zilimwambia Yanga watakosa penati
Dakika ya 10 ya mchezo, tayari mko nyuma kwenye aggregate kwa goli 5-0 unaenda kufanya tukio lile, inafikirisha sana. Hata wenzako wanastahili kukulamba vibao.

Hivi ni kweli wale jamaa walimaliza wakiwa 8 uwanjani?
 
Dakika ya 10 ya mchezo, tayari mko nyuma kwenye aggregate kwa goli 5-0 unaenda kufanya tukio lile, inafikirisha sana. Hata wenzako wanastahili kukulamba vibao.

Hivi ni kweli wale jamaa walimaliza wakiwa 8 uwanjani?
Wakiwa 9 mwingine aliyetaka kumvua nguo ya ndani
 
Wakiwa 9 mwingine aliyetaka kumchojoa nguo ya ndani
Kwa Yanga hii ya "unaifungaje" inacheza na mtu 9 dhaifu tena tayari zilizo dhaifu halafu unaishia kupata goli 6, aisee nimesikitika sana.

Hivi Simba ingemshobokea msemaji wa Horoya au Galaxy hadi ikamnunulia suti halafu timu yao akaenda kula zile 7, maneno yangekuwaje hapa mjini? Si mpaka leo tungekuwa tunakumbusha hili jambo?
 
Angalizo, uwanjani wachezaji huwa wanachukua tahadhari wasiumie , siyo mradi kucheza na kufunga pia kuto kufungwa, (clean sheet)
 
Na hii ndo maana halisi ya utopwinyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…