GE2025 Pamoja na kuendeshwa na wasomi, Je Mhimili wa Mahakama Tanzania unajitambua?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Msanii

Platinum Member
Joined
Jul 4, 2007
Posts
26,483
Reaction score
40,130
Jaji Nduguru ambaye ni kiongozi wa jopo la Majaji 3 kwenye kesi ya Uhaini dhidi ya Tundu Lissu. Amesoma ama kutoa maelezo kuwa kataza kataza na pigapiga ya raia inayofanywa na polisi siyoaelekezo ya polisi.

Jana tarehe 15 Septemba 2025. Wakili amepigwa na kunyakuliwa ndani ya viunga vya Mahakama sambamba na raia kushambuliwa vikali na polisi.

Leo tarehe 16 Septemba 2025, Wananchi wamezuiwa na polisi kuingia mahakamani ambapo Jaji Nduguru ametoa rulling kuwa utaratibu.wa wiki iliyopita utumike kuhusu watu kuingia Mahakamani.

Kikubwa amesema, hakuna maelekezo kutoka Polisi kuzuia watu wasiingie mahakamani. Kwa tafsiri ya wazi ni kwamba matendo ya kigaidi yanayofanyika mahakamani dhidi ya raia huku watendaji wakiwa nj polisi ni MAELEKEZO.ya Mahakama

Je Mhimili huu unajitambua?
 
Kuna tofauti kubwa sana kati ya Mahakama na Makamasi.
 
Wewe una maoni gani mkuu?
 
Anayewalipia mafuta ndo mwamuzi wa kila kitu. Kwa ufupi E ndo kila kitu hao wengine wanafata matakwa yake na haitobadilika
 
Mahakama yote wanalipwa na kodi zetu

Unaelewa hapo lakini?
 
Sasa hivi kila eneo watu wanawazia uteuzi tu kutoka juu! Kwa hali hii tunatakiwa kupambana kwa namna yoyote kuhakikisha mamlaka ya Rais yanapunguzwa kama wananchi tulivyo pendekeza kwenye ile Rasimu ya Katiba ya Jaji Warioba.
 
Mahakama mkuu ilikua kipindi cha wakina Jaji Samantha Augustino Ramadhan mahakama kipindi cha Magufuli ndo zilianza kutumika vibaya kwenye ilo Magufuli ana lawama zake
 
Back
Top Bottom