Mtanzanias
JF-Expert Member
- Jul 30, 2021
- 1,747
- 3,725
Kuna kaujinga fulani kanaenezwa na wajingawajinga fulani hivi kuwa yanga akivaa jezi nyeusi ndio anashinda na asipovaa basi ashindi.
Azam leo wamekataa katakata kuvaa jezi zao za nyumbani wakavaa jezi za ugenini wakiamini yanga inapata magoli kupitia jezi nyeusi ni upuuzi wa hali ya juu kabisa.
Yanga hawa wamebeba ubingwa wakiwa wamevaa sana jezi za kijani sasa sijui hii imani ambayo timu nyingi kwa sasa zinazokuja kucheza na yanga zinaitoa wapi, uwezi kuwa na kikosi cha kuungaunga alafu ukashindana na timu iliyokamilika kiufundi, Yanga anaweza asicheze vizuri lakini ukachezea kichapo vile vile ni kutokana na team work waliyonayo na aina ya wachezaji walionao ni quality tupu.
Nazitaadharisha timu nyingine zenye mawazo ya kijinga kama ayo ziheshimu uwezo wa yanga kwa sasa ni level nyingine