Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,168
- 39,118
Timu zilizokubali kuingia huu mtego ndo za ovyo na viongozi wao. Haiwezekani na haitatokea kiongozi wa timu anayejielewa huko Ulaya, America au Afrika atakayetoka na kuongelea rangi ya jezi kama sehemu ya mkakati wa ushindi. Nilipomsikia Zaka Zakazi na Hashimu wakitilia mkazo rangi ya jezi nikajua Mechi imeisha.