Watanzania wengi wana uwezo wa ku afford basic needs kutokana na mifumo mizuri iliyowekwa na mabeberu.Daah,Kuna mahali unakuta nyama Bei ghali Sana lakini bado tu ukichelewa kidogo tayari imeisha na ni mitaani tu ambapo ni choka mbaya...
Sababu robo kilo ya nyama inaweza kutoa mchuzi wa kutosha familia kubwa kwa ajili ya kulia Ugali na watu wakashiba kisawasawa, kila mtu anapewa kakipande kidogo tu cha nyama, ili kusindikiza mchuzi mwingi
Ndio furaha ya CCM na matajiri wachache wanafurahi watanzania wakiishi kwa ufukara na kubahatisha bahatisha kama hivi. Na wanafurahi Sana hali hii iendelee.Sababu robo kilo ya nyama inaweza kutoa mchuzi wa kutosha familia kubwa kwa ajili ya kulia Ugali na watu wakashiba kisawasawa, kila mtu anapewa kakipande kidogo tu cha nyama, ili kusindikiza mchuzi mwingi
Ajabu ni kwamba Tanzania ni nchi ya tatu Africa kama sijakosea kwa kuwa na Mifugo mingi... Pia tuna wanyama pori wengi sanaa...Yaani huko mitaani sasa hivi ikifika saa 11 mpaka 12 mabucha hayana nyama
INATEGEMEA SEHEMU NA SEHEMUHabari wana jamvi katika utafiti wangu bao siyo rasmi nyama imeendelea kuwa ni bidhaa inayonunuliwa kwa wingi.
Tafiti inaonesha kuwa matumizi ya mboga ya nyama yamezidi kwa sababu ni mboga ambayo maandalizi yake hayana gharama kubwa.
Watu wenye kipato cha wanaweza wakanunua nyama robo kilo na ikawatosheleza kwa milo 2 tofauti na mboga nyingine.
Nini maoni yenu wanajamvi.
Afu huyu mnyama anakula sana gharama kumtunza nashangaa sasahv nyama ya ng'ombe ni ghali kuliko kitimotoNyama pendwa Ya MBUZI KATOLIKI IKIPANDA BEI TUNAANDAMANA....