Pamoja na kupanda bei, nyama ndiyo bidhaa inayonunuliwa zaidi

Pamoja na kupanda bei, nyama ndiyo bidhaa inayonunuliwa zaidi

Afu huyu mnyama anakula sana gharama kumtunza nashangaa sasahv nyama ya ng'ombe ni ghali kuliko kitimoto
Kitimoto kilo ni elfu 12 daima dumu..... yani ni constant miaka zaidi ya 6 sasa na haibadiliki.... IKIPANDA KITIMOTO UJUE NG'OMBE NA MBUZI KILO NI ELFU 20.. Kitimoto inatupunguzia sana gharama za matumizi.
 
Hili ni jambo zuri. Natumaini kupanda bei huku kunamfikia mfugaji.
 
Back
Top Bottom