ukimaanisha ?Nabii hathaminiki kwao.
kuuza mayai ni biashara halali kabisa, ni kinyume na story zinazosambaa kwamba ni wezi.Siku hizi wameweka mapanga chini, wamekuja mjini wanauza mayai....
Tupo kizazi cha kidijitali, hizi simu zetu ni media tayari.Mtoa mada umewahi kuishi Mara? Wewe unataka matukio unayosikia Geita sijui mama kamuua binti yake? Hayo huyapati Mara. Huku ni ugomvi kidogo mtu kakimbilia silaha kakuramba kidogo. Matukio ya ugomvi wa namna hii mtu anaenda Hospital kupata PF3 yanaishia polisi,hayo ya Geita ndio yanaishia kwenye Media.
Hakuna kibao chenye maneno hayo popote Tanganyika hii.View attachment 2962630
Tunasikia tu story kwamba Mara hakukaliki ni mkoa wa matukio kuuana, ujambazi, kupigana, n.k
Kuna picha imetengenezwa ya kibao "sasa unaingia mkoa wa Mara" yameongezwa maneno, "kaza roho", "be strong", n.k. yanaleta picha kwamba ni mkoa wa matukio
Kwanini ni tofauti na uhalisia ?
Habari kibao za matukio haya tunazisikia Geita, Arusha, Manyara, n.k.
Lakini haya matukio tunayasikia zaidi mikoa mingineMara sio mkoa wa kiharifu kwa maana ya uporaji na ujambazi bali ni mkoa wenye matukio ya kikatili kwenye sababu za kipuuzi....... imagine mtu anamkata mkewe mkono eti kwa kuwa amechelewa kurudi kisimani.......mtu anamuua mkewe eti kwa kuwa amemnyima muumba.......
Mtu amemuua mwanae wa kumzaa kisa ili apate michango ili alipie mikopo yake
Nadhani hata huko kungetakjws kujengwa hospital ya watu wa matatizo ya akili.......
Siku hizi wameweka mapanga chini, wamekuja mjini wanauza mayai....
Ni mwendo wa maokotoSi wanaimba Hadi Taarabu siku hizi..
Aisha mashauzi si anaitwa Bhoke..ni mkurya nasikia...
Tanzania inabadilika haraka Sana ..nasikia kuna waimba Taarabu Hadi wachaga